Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Inategemea kama kuna mikwaruzano kwenye mirathi.Nani atakuwa mlalamikaji? Mitandaoni yalisemwa mengi kuhusu Ulimboka, Saanane, Azory na wengineo mbona hatukuona kauli ya polisi kuwahusu? Zaidi ya kuambiwa watu wasiulize.
Fanya subira itatoka tuLeteni ripoti ya MO dewji kwanza msitufanye watanzania wajinga sana
Nani atakuwa mlalamikaji? Mitandaoni yalisemwa mengi kuhusu Ulimboka, Saanane, Azory na wengineo mbona hatukuona kauli ya polisi kuwahusu? Zaidi ya kuambiwa watu wasiulize.
Leteni ripoti ya MO dewji kwanza msitufanye watanzania wajinga sana
Hii awamu ni ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea ndani ya taifa letu. Kila Mkuu wa mhimili, idara, taasisi, wizara ni wa hovyo kuliko waliomtangulia na haikushangaza Mh. Zitto kudai kwamba hii ni zamu ya washamba na limbukeni. Hawa watu wanaliua taifa na wananchi tusipokaa macho watalizika kabisaaa! Kwa heri kisiwa cha amani...RIP!Aaah hivi yule aliyemtishia TL mitandaoni ashafatiliwa? "Hatufanyii Kazi masuala ya mitandaoni" ila kwa makada zinafanyiwa.
Hii awamu ni ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea ndani ya taifa letu. Kila Mkuu wa mhimili, idara, taasisi, wizara ni wa hovyo kuliko waliomtangulia na haikushangaza Mh. Zitto kudai kwamba hii ni zamu ya washamba na limbukeni. Hawa watu wanaliua taifa na wananchi tusipokaa macho watalizika kabisaaa! Kwa heri kisiwa cha amani...RIP!
Sioni kama hilo linaepukika, labda kama ameacha will.Inategemea kama kuna mikwaruzano kwenye urithi.
Naikumba hii kauliAaah hivi yule aliyemtishia TL mitandaoni ashafatiliwa? "Hatufanyii Kazi masuala ya mitandaoni" ila kwa makada zinafanyiwa.
Hata kama ameacha will, kuna situations ambazo upande mmoja unaweza kuzitumia dhidi ya upande mwingine. Kwa Mfano hizo tuhuma zinazosambaa, zinaweza kutumika dhidi ya huyo mdada aka loose custody ya watoto wake. Na hilo likitokea lake halipo. Another soap opera to come. Na hivyo uchaguzi mwaka kesho, basi polisi wameshapata tamthiliya nyingine. Watch this space!😃Sioni kama hilo linaepukika, labda kama ameacha will.