IGP Sirro alituahidi kumkamata Mange Kimambi kwa udi na uvumba, leo hii tunamuona akipiga picha na Rais wa JMT. Ndio kusema hakuikosea Jamhuri?

Mbona JPM alipiga selfie na kale ka kiwete kabakaji kule butimba gerezani, tena akakaachia huru, ni kweli jinai haizeeki ila Dhabi huoshwa na unakuwa msafi kama theluji
 
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.

Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Mange Kimambi hana makosa yeyote. Yule hayawani Meko au kwa sasa Mwendazake ilikuwa lazima atoke.
 
Jinai haina UKOMO. Akigusa Bongo ameumia, labda serikali itangaze kumsamehe.
Jinai iko wapi aliyofanya Mange Kimambi? Kwa mfano aliandika Magufuli anaishi kwa kibetri alichowekewa kifuani? Au Magufuli amezaa na mdogo wa mke wake Mama Janet na kamteua kuwa DED Kongwa?

Niwekee hapa charge sheet ya jinai ya Mange?
 
Hii y
Ni cardinal principle kuwa jinai haina mwisho. Ndio maana hata kama ulitenda jinai baada ya miaka 20 ukikamatwa wanaanza na wewe.

Mange alitukana na kukashifu serikali. Igp Sirro akasema lazima amkamate kwa vyovyote vile. Sasa hii ya Mange kupiga picha na rais akiwa Usa si kumkatisha tamaa chief arresting officer wa Tanzania?
Hii ya mange kupiga picha na mh haipo sawa maana alimutukana san jpm nadhani jinai haifutiki
 
Pamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Wenye akili tulishahifunza kwa Ruto , na Odinga na kabla ya kigogo na kimambi tumeshajifunza kwa Uhuru na Ruto ,na pia kwa uhuru na Odinga. Hizo ndo siasa.

Ama kuhusu Mange alikuwa na ugomvi na JPM .
 
Kimambi!!! Yaani huyu Takataka naye leo hii unaleta iwe ni topic ya kujadili hapa JF!
 
Pamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Kwani mtu huwezi kumtukana Raisi na kumpenda makamu? Raisi Magufuli ahukumiwe mwenyewe
 
Pamoja na kwamba Mange alimtukana Magufuli na aina yake ya uongozi matusi yote aliyoyajua yeye lakini tunaona mama Samia ambaye alikua makamu wa raisi kwa muda huo anatengewa muda wa kupiga picha na Mange. Kwa profile ya uraisi ilivyo kubwa sidhani kama hili lilitokea kwa bahati. Wale tunaofuatilia wanasiasa tulijue hilo, mwanasiasa akishapata anachohitaji kwa oponent wake basi mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha.
Sioni Kosa hata kidogo kwani Ni Rais wa wote na bahati mbaya Yule kalala chato huko
 
Back
Top Bottom