IGP Simon Sirro arejea toka Rwanda, ziara ya kikazi imegundua mengi kuhusu Tanzania

edwayne

JF-Expert Member
Apr 5, 2013
6,071
2,000
Yani nchi kubwa kama tanzanja kwenda kujifunza rwanda inaonyesha jinsi gani hatukuwa serious toka mwaka 1985
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,554
2,000
Palma Cabo Delgado,
Mozambique

Mhanga wa Ugaidi Mozambique afunguka madhila makubwa yaliyoikumba jamii ya wakaazi wa Palma


Ilikuwa ndoto kwenda kuvuna muhogo shambani wala kupata dagaa, anasimulia mkaazi huyo kwa lugha ya kiSwahili inayotumika kwa sana huko kaskazini mwa Mozambique ....shukrani kwa Jeshi la Rwanda RDF na mengine ya SADC kuweza kuwajengea imani wakaazi hao wakafunguka kila kitu namna magaidi hao walivyoharibu maisha yao na uchumi wa eneo hilo....

A victim from Cabo Delgado narrates his ordeal prior to being saved by RDF soldiers
Source : IGIHE
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,554
2,000
Majeshi ya RDF wakiwa ktk operesheni maalum Cabo Delgado, warudisha imani kwa wananchi

Wananchi waliokimbia makaazi yao kuwakimbia magaidi, walishukuru jeshi la Rwanda RDF kwa kutokomeza ugaidi eneo hilo la Mozambique na wao kuweza kuishi bila hofu ya kuvamiwa, kuporwa au kuchinjwa na magaidi eneo la jimbo la Cabo Delgado Mozambique.

A heart-warming moment between Cabo Delgado residents and Rwandan Soldiers
Source : IGIHE
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,226
2,000
Usijifanye kila jambo unalijua kwa sababu unakasimu kako ka kupyatila halafu unakula ugali wa bure , acheni jeshi la Polisi lifanye kazi yake, usilolijua ni sawa na usiku wa giza .
Wanaogopa vyanzo na makambi mafunzo anaenda wacheza karate...ugaidi upo kwenye imani zaidi.....akiwashe Capo De Galdo akimaliza awahi Garisa avuke boarder.....vita imani huwa haina mwisho na hataweza kuishinda kwa jazba
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom