NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,249
Enzi za Mwalimu haya yote yalikua yakifanyika katika karakana za Polisi na yalikua yakifanywa na Mechanics wa jeshi hilo kama njia ya mfunzo na kuzuia usambaratikaji holela wa vipuri na manunuzi yasio halali.
Je, itakua sahihi ukiona machinga anasukuma kifaru cha jeshi kupeleka anakotaka yeye?
:wink::wink::nono: