IGP Mwema afunga barabara za Mwanza

IGP Mwema afunga barabara za Mwanza

Huyu IGP mara nyingi amekuwa akitumia madaraka yake sivyo ndivyo!

Mara kibao tu amekuwa akiwapa ruksa maRPC wake mamlaka ambayo haistahiki hata kidogo!
 
Tumuite IGP, labda alikuwa anaogopa polisi jamii na risasi za shingo, maana Mwanza ni kiboko kwa polisi jamii especially wakigundua kuwa umehusika katika UZINZI SHIRIKISHI
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa! Uzinzi shirikishi hautakiwi Mwanza, wakafanyie kwingine. Si ajabu kusikia hata Ngunguli mkuu akadedishwa huko huko rock city, shauri yake. Anachotakiwa ni kujiheshimu tu hadi aondoke huko. Wasukuma wamepinda sana siku hizi.
 
nasikia kaja kuwaona waliomuua jamaa yake RPC wa Mwanza nasikia wamefikia Watano
Je na yule Mhaya aliyezaa na Doroth watoto 2 yupo ktk list
Jamaa askari wa Uhamiaji?
 
Tumuite IGP, labda alikuwa anaogopa polisi jamii na risasi za shingo, maana Mwanza ni kiboko kwa polisi jamii especially wakigundua kuwa umehusika katika UZINZI SHIRIKISHI

we mkareee....chezea ZOOO utaona za shingo tu,watu hawarembi.muu vipi pale kona ya bwiru bado kuna kiti motoo??nakuja huko next week.
 
Katika kile ambacho ckutaraji kukiona na cjawahi kuona hata kama Rais akipita kufungwa kwa barabara ya kutoka mjini kwenda Airport kwa takriban nusu saa ili kupisha mkuu wa police kupita na msafara wake
Hii imesababisha adha kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo!

Hiyo ni lazima sasa hivi viongozi wote wa jeshi watakua na ulinzi mkali huko mwanza ili wasije wakawa barlowed

Kwahiyo kuna kazi ya mlinzi kulindwa "it looks funny"
 
IGP hajafunga barabara!!!! wamemfungia barara!!!! teh teh teh teh teh teh

inawezekana hata yy hajui km ilifungwa
 
Back
Top Bottom