IGP mstaafu Simon Sirro Kuagwa rasmi na Jeshi la Polisi

Kwakuwa ni Mzanaki Mwenzangu tena tunatoka Kijiji Kimoja ngojea Madhaifu yake niyafiche nisimharibie Poti/ Mwetu wangu.
 
Sirro ni Shujaa wa Nji hii u achoangalia wewe kimegubikwa na tongotongo za kutojua au za ushabiki na hata usaliti. Hela za kuzikana zinamuhusuje IGP?

Hivi kazini kwako au Kijijini hamna utaratibu wa kuzikana? It's a private affair kama zimeibiwa ni sawa na mwizi yeyote. Ni.kaxi ya IGP kama vile ilivyo wizi wowote ule.
 
Sirro ni Shujaa wa Nji hii u achoangalia wewe kimegubikwa na tongotongo za kutojua au za ushabiki na hata usaliti. Hela za kuzikana zinamuhusuje IGP? Hivi kazini kwako au Kijijini hamna utaratibu wa kuzikana? It's a private affair kama zimeibiwa ni sawa na mwizi yeyote. Ni.kaxi ya IGP kama vile ilivyo wizi wowote ule.
Huu ndio umaiti uliosemwa na Jomo Kenyatta.
Ule ni mfuko wa taasisi ya Polisi na makato ya watumishi hao sio kuwa wanapeleka kwa mkono bali ni deduction through salaries kwa mfumo rasmi wa kiserekali kupitia hazina ndio maana hata CAG ameupitia.
Ni ujinga hivi ulivyojibu.
 
Back
Top Bottom