Mzee wa Masauti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 2,199
- 2,507
Kutokana na vuguvugu la siasa linaloendelea hapa nchi linalotokana hasa na kukatazwa kwa mikutano ya kisisasa na yale ya kule Zanzibar, napenda kumshauri IGP Mangu ni heri akakaa kimya kuliko kutoa matamko yanayoashiria upendeleo wa chama fulani cha siasa.
Ni dhahiri kwamba kwenye uchaguzi wa Zanzibar mwaka 2015 jana kila mtu anafahamu nani aliyeshinda.Wewe binafsi unamjua aliyeshinda kura kihalali na CCM wanamjua aliyeshinda.Hata mtoto mdogo ukimuuliza nani aliyeshinda Zanzibar 2015 atakujibu.
Kauli unazozitoa za kutaka kumkamata yule kiongozi wa chama cha siasa kule Pemba zinaweza kuzidi kutonesha vidonda vya wazanzibari na kuzidisha chuki za wazanzibar kwa Serikali yao pamoja na Jeshi la Polisi.