IGP Mangu kajitofautisha na wengine

Kiswahili sanifu ni AMIRI JESHI usiweke tena neno MKUU kwasababu neno AMRI ni neno la kiaraabu likimaanisha neno MKUU, kwa hiyo ukisema AMIRI JESHO MKUU ni sawa na kusema BARABARA YA MOROGORO ROAD
Nimejifunza kitu kwako mkuu, Ingawa umaliziaji wako umenichekesha sana aiseeee....
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
ccm watu wa ajabu sana yani kwaokupata cheo lazima ufanye tukio kupiga wazee kutukana wao hawaangalii Elimu.


swissme
Hapa tuna angalia hoja mkuu, kama ni sisa jeshini hakuna siasa na pia muda wa kampeni ulikwisha pita aiseeee
 
Watu wa sheria ebu tufafanulieni kidogo je ni sahihi mangu kupishana na amiri jeshi? muongozo
Kimsingi sisi waTanzania ndio tunao potosha huu mjadala, Pale IGP Mangu haja pishana na Pombe.
Alicho kisema Mangu ni kwamba...
Hajapata taarifa rasmi kutoka kwa Pombe ya kumtaka kumpandisha askari alie onyesha kuwajibika ipaswavyo kwa mke wa waziri flani.
Sasa yawezekana Mangu hajapata taarifa rasmi zaidi ya kusoma au kusikia kauli ya Pombe kwenye media.
So...
Kimsingi Mangu yupo sahihi na hajapishana au kupingana na kauli ya Pombe
 
Raia mna matatizo sana.kwa kifupi magufuli ni amir jeshi mkuu,neno lake ni amri,huyo mangu amejitoa ufahamu tu kwa vile anajua nae hana muda mrefu kuachia hicho cheo cha uIgp.
 
Mdau nadhani hili swala ww umelitafsili kwa angle yako kadiri ulivyolielewa ww . Mangu hakuna kitu alichokosoa, Kifupi ni kwamba Serekali huwa inawasiliana kwa maandishi.......ili Mangu aweze kutekeleza maelekezo ya Mh Rais lazima apewe barua ya kumtaka afanye alichoagizwa...... na yy wakati anatekeleza aliyoagizwa ni Iazima afate utaratibu wa kupandisha askari vyeo...... at the end of the day.... yule askari atapandishwa cheo kwa mujibu wa maelekezo lakini kwa kuzingatia utaratibu.
 
Raisi ametoa cheo kama zawadi

IGP anamtaka askari husika alipie zawadi...

labda zawadi imekua kubwa kuliko zuri alilofanya ila bado ni zawadi,kama ataenda mafunzoni basi hiyo sio zawadi tena

atakayebadilisha zawadi ya raisi cheo chake kinaweza kua ni juu ya amri jeshi
 
Rais kaamua kufuata hisia zake katika kuongoza nchi na sio misingi ya sheria, Mangu ameonesha ujasiri wa kusimamia kiapo chake, safi.
 
Mimi mwenyewe natakiwa kupandishwa cheo, kuna binti mmoja sijui ni mfanyakazi wa ndani wa waziri nilimwaproach akanikata jicho bayaaaa, kisha akanitema mate na kunisababishia matatizo ya kimfumo mkakati!
Hakuna tusi hapo hustahili cheo endelea na hayo matatizo ya kimfumo mkakati ili siku nyingine ufikirie mara mbili kutongoza familia za viongozi.
 
We humtakii mema wewe.
 
Hakuna tusi hapo hustahili cheo endelea na hayo matatizo ya kimfumo mkakati ili siku nyingine ufikirie mara mbili kutongoza familia za viongozi.

Inawezekana huyo waziri una maslahi naye ndiyo maana unamtetea huyu binti aliyeni 'nyali' nitaendelea kupigania haki yangu hadi nipandishwe cheo walau nipewe ubalozi wa Bongo kwenye nchi maalum!
 
Mdanganye huyo Mangu wako ajaribu kutunisha misuli aone! Chama kimeshika hatamu kwa tarifa yako. Hicho cheo lazima apandishwe!
 
JF noma sana!
Unajua kilichomkuta Kamanda mmoja wa USA kwa kupishana Kauli na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama!
Tangazo la Raisi ni Amri hali hitaji taarifa ya Kimaandishi na hasa hili la majeshi ya Ulinzi na Usalama!
Kwahiyo hata kama amri yenyeww inakiuka sheria na ama taratibu ya jambo husika?
 
Umeanza vizuri Mshana, ni jambo linaloweza kumgharimu. In fact lazima limgharimu huwezi kuweka mbwembwe kwenye Amri ya Amiri jeshi. Ubishi au misimamo hasi kwa mkubwa wako wa jeshi ni jambo la hatari mno.

Imagine Jeshini unaweza kupewa kikosi kwenda uelekeo ambao unajua lazima mnaenda kufa na viongozi wanajua mnaenda kufa lakini inaweza kuwa ndio namna pekee ya kushinda vita.
 
Inawezekana huyo waziri una maslahi naye ndiyo maana unamtetea huyu binti aliyeni 'nyali' nitaendelea kupigania haki yangu hadi nipandishwe cheo walau nipewe ubalozi wa Bongo kwenye nchi maalum!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila Mangu anamtakia mema askari , aende akasome ili zawadi iwe na tija huko mbeleni asije kutokea wa kumnyanyasa
 
Kimsingi umerudia nilichoandika kwa ufupi na kwa namna nyingine
 
Mkuu mshana jr tatizo letu Viongozi wetu elimu ya kusghulika na wanahabari bado sana na ndiyo maana wanawaona Maadui!
Sijui ni swali la aina gani IGP aliulizwa kuhusiana na issue hii '' Ila kwa vyovyote jibu fupi ingeweza kuwa "Tutachukua hatua kutekeleza agizo la Raisi ''.
 
Hivi wakati wanapitisha mikataba ya "ovyo ovyo" huwa wanafuata utaratibu na sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…