Hawa hawana maana umbea tu ,kujifanya majasusi na ramli zao kwanza hata ikiwa kweli IGP hawezi kua mjinga kiasi hicho awe exposed kwenye jambo la namna hilowakati watanzania tumelala. Watu pekee wa kukomboa huu ushenzi ni sisi raia wenyewe tukiamua maana hao viongozi wote wamelambishwa asali.