Igizo la Yesu Bongo movie

Tanaluza

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
212
121
Waigizaji wa kibongo bana bora waigize komedi tu. Ona hili igizo la Yesu mahojiano kati ya Maria na Joseph juu ya mimba ya yesu.

Joseph anamuuliza Maria
Joseph: Maria hii ni mimba ya nan?
Maria: Ni mimba ya roho mtakatifu.
Joseph: Yesu wanguu, roho mtakatifu amekupa mimba aiyaaiyaaa.
Sasa jiulize Yesu anayemtaja kwa mshangao Bwn Joseph ni yupi then conclude Bongo muvi ni fake.
 
Nimecheka sana eti yesu wangu bongo muvi ni hatari sana kwa kifupi hawajielewi
 
Back
Top Bottom