Igizo la Corona limeishia wapi?

Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?

Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?

Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?

Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.

Siku hizi sioni tena mabarakoa yakivaliwa?
Ugonjwa wa matajiri ule ...ww masikini ukikupata hata kufa hufi ukifa basi jua ni bahati mbayà tu
 
Kuna watu humu hawajapotelewa na ndugu jamaa na marafiki ndio maana wanakua na viburi.
 
Put in ka end game hakuna tena story za kirusi,sasa ni story za ukraine na urusi zimejaa kifusi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom