Igeni na hii

Igeni na hii

Pia kulikuwa na wale vichaa wa "The tribe called the Quest" ndio kipindi hicho hicho Denis Roadman hashikiki, wakati huo Bozi boziana humwelezi kitu wakati Lenald Mambo Mbotela wa kbc Nairobi halinganishwi kabisa na Dominiki chilambo wa redio tanzania daslam!

Hapa wengi umewaacha pale mataa ya ubungo
Kizazi cha akina snoop dogo dogo
 
Hahah, mkuu. Nawe ulikuw mdau wa vile vijarida

Yaani vibaya mno..nim-miss tena Mwinyi Mpeku katika upekuzi, au vituko vya Lodi Lofa...na zile hadithi tamu za Bawji..hapo hujatia hadith za michoro za IBRA Radi washokela kabla ya John Kaduma kama vile za Linda na mdogo wake Seba na Starring Obi? na vipi Zumo na Mayuku?
 
Na nikikumbuk na prof ndumira kuwili...
 
Hapa wengi umewaacha pale mataa ya ubungo
Kizazi cha akina snoop dogo dogo

Hapo hujamtia Stanley Kirk Burrell aka MC Hammer...na Vanilla Ice je?...Vipi Cool and the Gang na kitu "Lets go Dancing hoo la la la" madogo tunaimba "leta nazi na mchuzi wa dagaaa"
 
Loh..! Umenikumbusha ice ice baby..! Na have you seen her?
 
Hiyo Have You Seen Her mpaka sasa ni miongoni mwa my best slow songs 3...ingawa nilimfurahia zaidi katika hot funky kama "You Cant Touch This" "Hammer Time" na "Here Comes the Hammer"...hata ile ya kuchangisha fedha kwa ajili ya watoto "Help the Children" ilikuwa bomba
 
halafu wa-pekupeku walikuwa wanawakazia jamaa kinoma...ila kwa muonekano madenge hakutakiwa kuwa kipa wa bush...alikuwa na maujanja ya town kinoma

Yule jamaaa alitakiwa awe karibu sana na prof ndumila kuwili.
 
Yaani vibaya mno..nim-miss tena Mwinyi Mpeku katika upekuzi, au vituko vya Lodi Lofa...na zile hadithi tamu za Bawji..hapo hujatia hadith za michoro za IBRA Radi washokela kabla ya John Kaduma kama vile za Linda na mdogo wake Seba na Starring Obi? na vipi Zumo na Mayuku?

Nichekelee katika vioja!
 
sani ilikua haipindui mbele ya bongo jarida adhim kulikua na hadithi ya michoro ya mike jumbo na akina dikson na george (anga za wenyewe) miaka ya tisisni ile ilikua raha si kidogo
 
Yeah, inawezekana Bongo lilikuwa bomba zaidi ila si unajua wa kwanza wa kwanza tu? Maana Sani kitambo sana...wakati tuko skuli na akina Fortunatus Ndilla waliokuja kuwa wachoraji wa Bongo baadae...sana lishakuwa mtaani siku nyingi
 
Back
Top Bottom