G
guest-1793102819
Guest
Halmashauri ya chalinze kupitia Dt na mkuu wa idara ya utawala waache unyanyasaji wakutoidhinisha watumishi stahiki zao za malipo ya uhamisho, na madokezo ya pesa za likizo.
Igeni mfano wa mkurugenzi Ramadhan possy mbona yeye hana shida. Watumishi wengi wamehamishwa kada mbalimbali na vituo mbalimbali ndani ya halmashauri lakini wanazulumiwa malipo yao.
Hao watendaji wa vijiji ndo usiseme mara nyingi muwe na huruma nao wanafamilia kama nyinyi.