Igeni na hii

Igeni na hii

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
1977155_634800883256962_1210823259_n.jpg
 
kama lile jini la kwenye muvi ya shska zulu.....noma!!!!
 
Kudadeki jifanye chizi uige simumezoea mastyle
 
Mtume anasema unajana ni nusu ya uwendawazimu
...mkuu funguka kidogo,ni mtume gani huyo anaye laani ujana,maana sikuizi mitume wengi sana wengine nahisi waongo. Ila bible inasema fahari ya vijana ni nguvu zao,ila wanazitumiaje hilo suala jingine kabsaaa...
 
Mkwe hii hapana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kuna style nyigine hata uanzishe unaweza kukosa hata mtu mmoja wa kukuiga hapa duniani

  • A%20S%20cry.gif

 
Aliyemwambia kuwa kapendeza, kamdanganya kweli!!! Hahaha...
 
mbona mimi naona amependeza tu..........Kipara safiiii...............
 
...mkuu funguka kidogo,ni mtume gani huyo anaye laani ujana,maana sikuizi mitume wengi sana wengine nahisi waongo. Ila bible inasema fahari ya vijana ni nguvu zao,ila wanazitumiaje hilo suala jingine kabsaaa...

Kweli kabisa mkuu 1yohana 2 anasema 'Nimewaandikia ninyi vijana, kwa sababu mna nguvu na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu'. Sasa nusu ya wendawazimu tena....
 
Back
Top Bottom