Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

Nilikuwa G1 PALE 2014/2015
G2 mkuu. Tuliondoka 2000.
Uzuri yeyote aliyepita Ifunda hua hawakai kizembekizembe, lazima umkute anachakarika. Wachache sana wanajua wazembe wazembe. Ile shule ilikua zaidi ya JKT.
 
Ifunda the glorious technical school with long forever! with our motto skill and efficiency, we shall build our national strong and our school sunshine forever more oooooh godless our school x4 jamani kambi yangu ya 1990-1993 ndo inaangamia hivi wapi Mkwawa, wapi seuta, wapi zooo, wapi Mirambo wapi chabruma!!! you people!!!!!
Chabu hapa
 
Back
Top Bottom