Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

Ifunda Tech yafungwa kwa muda usiojulikana

Wafunge mpaka siku ya mtihani wa mwisho ndiyo waje shule pumbavu zao bangi zao wasituharibie shule yetu.

Kak unarpoka tu vitu visivyokuwa vya msingi usiwe professa tu bila kuwa na ushaid fanya research ili ujue chanzo kwan nani anayependa kugoma then kumbuka no evidence no right to say kuwa makini wew
 
Uongoz wa shule na uongoz wa wanafunzi ndio chanzo cha migogoro ifunda... Km maj kuna mto karbu na ht hvo kuna shule kibao hazina ht vyanzo vya maj lakn ifunda kuna ht mabomba ya kupump... Udini pia umetawala pale. Na msitu unaoizunguka shule unasababisha kuwepo kw wavuta bangi na wahun... Soln. Mkuu wa shule awe imara coz enzi za vaginga hayo hayakuwepo. Ht hvo walimu wa ifunda wakorof sana..
 
Polen sana ifunda tech mim i now that tatizo ni kuchapwa viboko vingi kuliko idadi make kama ni shida ya maji tosamaganga ipo tena kuzid hata nyie make maji sisi limekuwa ni tatizo sugu kuhusu suala la viboko kwa kwel hapo daah plz naomba muache kugoma mkae mezani kama sisi tosamaganga na slogan yetu LAZIMA TUKUBALI KUKUBALIANA NA TUSIKUBALI KUTOKUKUBALIA hii slogan ndo inayoiongoza tosamaganga kwenye wimbi zuri la amani
 
Tatizo sio Maji, tatizo bakora. Maticha wa Ifunda wanachapa kupita kiasi yaani kama wanachuki na wanafunzi vile.
Mie nilisoma hapo Advance nilimaliza 2012, yaani hao hawajui mkubwa wala mdogo, wa kike wala wa kiume wanachojali kupiga tu wakati mwingine hadi mateke wanatumia.
Juzi nilienda kufuatilia cheti changu kilichounguzwa nilichokikuta pale Mungu mwenyewe anajua.
Ilikuwa ahsubuh saa 2 tu, yaani nilikuta shule imegeuka Soweto. Madogo wanapigika hadi huruma mpaka nikamchana ticha mmoja kuwa hayo mambo ya kizamani.
Hata leo kusikia hiyo habari naona kweli madogo walishindwa vumilia,
 
Wafunge mpaka siku ya mtihani wa mwisho ndiyo waje shule pumbavu zao bangi zao wasituharibie shule yetu.

usilolijua ni kama usiku wa giza........may b ungekuwepo na ww ungetaka kugoma...but huko kuharibu mali za shule cwezi kuwasupport....hata cc ilboru tuligoma sana lkn hatukufanya uharibifu wowote wala kupiga mtu
 
Shule imepoa baada ya Shulla kuondoka na baadhi ya walimu kama kachenche..

Sasa huyo shulla ameletwa kwetu ni shiidaaaah..kufika ilboru ndani ya miezi 5 ya mwanzo walihamishwa watu kama 8 hivi..na migomo ikaendelea hadi alipobadili serikali ya wanafunzi mara 3 mfululizo na kuifunga shule ghafla hiyo ilikuwa mwaka jana
 
ndugu ucpende sana kutoa hukumu yawezeka kweli kukawa na tatizo swala ni kuwatafuta wahucka ili tujue tatizo ni nini.
 
nan anakumbuka vurugu za Njoss mwaka 2006 kipind iko npo fm5 EGM yan ilkua fujo
 
Uongoz wa shule na uongoz wa wanafunzi ndio chanzo cha migogoro ifunda... Km maj kuna mto karbu na ht hvo kuna shule kibao hazina ht vyanzo vya maj lakn ifunda kuna ht mabomba ya kupump... Udini pia umetawala pale. Na msitu unaoizunguka shule unasababisha kuwepo kw wavuta bangi na wahun... Soln. Mkuu wa shule awe imara coz enzi za vaginga hayo hayakuwepo. Ht hvo walimu wa ifunda wakorof sana..

mkuu.. Ukiandika kwa kirefu unapungukiwa nini?
 
Daaa viboko vinaharibu mood sana, viboko vinavyopitiliza idad sio vizuri, kila siku ifunda tu ina niuma sana coz mwnyw nimemaliza mwaka huu pale
 
Ukweli kuhusu kilichotoke Ifunda tech!!! Kwanza c uzembe Wa viongozi Wa wanafunzi !! Kwan wao ndio walikua wasuluhishi wakuu Wa tatizo hilo!! Baada ya kutokea tatizo la adhabu zilizopita kiasi na kutokusikilizwa kwa viongozi Wa wanafunzi !!! Wanafunzi waliamua kushinikiza vingozi wote kuvua tai za uongozi ili nao wawe kama wanafunzi wengine!!! Tatizo likaanzia hapo ; lakini viongozi wa shule walifanya juu chini kulisuluhisha kwan waliomba kikao na waalimu wanaohusika na ushauri(counceling)!!! Wakiwa na form6 kama wawakilishi wa wenzao na kweli walifikia muafaka wa matatizo ya wanafunzi lakini tatizo la viongoz liliwekwa kando(pending)!!! Lakini usiku Wa siku hiyo(j4-j5) watu wasiofahamika walikata fensi ya wavu ya Shule iliyokua inatumika kukamatia wachelewaji!! Hawakuishia halo tuu Bali waliiba kengele ya Shule na kuchoma kitalu cha miche!! Baada ya waalimu kuona tatizo limefikia hapo ndipo wakafungua macho na kuanza kutafuta suluhu!!! Wakaiita serikali ya iliyopinduliwa (wanafunzi) na kuwataka wakaongee na wanafunzi wenzao kwa kuwaahidi kuwatatilia kero zao zote( viongozi) ;viongozi Wanafunzi walifanya hivyo na wanafunzi wakakubali!! Na kuitikia wito Wa waalimu (j5 majira ya SAA 12:30 jioni)
 
Back
Top Bottom