- Thread starter
- #41
Course ipo kiasiasa ...kwani Siasa ni Nini?!Kwendaaaaaa..... nimedanganya nn? Nikudanganye kitu nilichosomea?
Halaf hii course iko kisiasa tu.. ingekua rai yangu nisingeisoma maana mnaambiwa hii course ni marketable maana ndo moya mpya. IFM ilianza 2009 as first graduants kama sikosei. Ila kwenye ajira hamna lolote waongooo...
Ingekua rai yangu leo hio wallah kama ni chuo ningeenda jifunza kilimo na ufugaji.
Hivi hakuna taasisi wanazofundisha pasipo mitihani?
Kimsingi ...kwa namna Course Content ya Masters ilivyowekwa ..inalenga kuwachukua watu wanaofanya kazi kuhudumia makundi Maalum...watoto ,watu wenye Ulemavu ,wazee nk
Nimeogopa Sana kuona hata wenye chuo wanachanganya kuhusu Social Security na Social protection 🤭🤭🤭
Nawahakikishia kuwa miaka michache ijayo Hizo Actua Nini sijui ...😆zitatolewa hapo!