IFM mnalazimisha kila course mfundishe hesabu!

Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
726
1,000
Hivi unajielewa kweli dogo?
Unajua hata unachosomea kweli? Ama kwasababu imeitwa SOCIAL PROTECTION basi ndo ukajua ni ilivyo kama jina lake?

Unajua kama hapo ni CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA?

Unajua kama ni chuo kilichopo chini ya Wizara Ya Fedha?

Unajua hasa core perspective ya hiyo course?

Very arrogant aisee... Social protection is wide. Unadeal na financing, uchumi kiujumla. Unadeal na bima let it be ya maisha ya watu ama properties. Ulifikiri unaenda kusoma SOCIALOGY ama? Mbona hata yenyewe wana hesabu?

Unataka ukafanye kazi kwenye mashirika ya bima hujui hesabu? Kuw ana adabu na course zetu dogo. Na nikuambie tuu, ya hapo IFM imelegea hesabu. Wenzako walienda Masters nje kidogo wakimbie kwa hayo mahesabu. How are u gonna be an ACTUAREE? Mbona hujalalamika kusoma Course ya Law ama CS?

Hamaa kama pamekushindaaa.....
hahahah jamaa labda alijua no security guard
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,262
2,000
Pale NIT wanafunzi wa HR wanasoma Quantitative Methods. Actually nimeiosoma kwenye course yangu hapa chuoni kwetu ila nikikagua sioni logic ya HR kuijua. Mambo ya inventory, MOQ, FIFO atayatumia wapi? Labda ya kwao iko tofauti sana na niliyosoma
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,535
2,000
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.

Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu.

Lengo lenu nini?

Mnatukwaza Manguin'

Chuo cha usimamizi wa fedha
Institute of finance management

Halafu unatakiwa usome na accounts kwa mbaaaali
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
15,937
2,000
Hivi unajielewa kweli dogo?
Unajua hata unachosomea kweli? Ama kwasababu imeitwa SOCIAL PROTECTION basi ndo ukajua ni ilivyo kama jina lake?

Unajua kama hapo ni CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA?

Unajua kama ni chuo kilichopo chini ya Wizara Ya Fedha?

Unajua hasa core perspective ya hiyo course?

Very arrogant aisee... Social protection is wide. Unadeal na financing, uchumi kiujumla. Unadeal na bima let it be ya maisha ya watu ama properties. Ulifikiri unaenda kusoma SOCIALOGY ama? Mbona hata yenyewe wana hesabu?

Unataka ukafanye kazi kwenye mashirika ya bima hujui hesabu? Kuw ana adabu na course zetu dogo. Na nikuambie tuu, ya hapo IFM imelegea hesabu. Wenzako walienda Masters nje kidogo wakimbie kwa hayo mahesabu. How are u gonna be an ACTUAREE? Mbona hujalalamika kusoma Course ya Law ama CS?

Hamaa kama pamekushindaaa.....
Umedanganya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,486
2,000
hahahah jamaa labda alijua no security guard
Ana kichaa dogo nimecheka sanaa.. unajua mtu akisikia socioal protection anajua ni sociology. Na hapo kumbuka hatusomi pure. Tena asinitie uchungu. Corporate finance kidogo iniue halaf boya mmoja anataka asisome. Soma na wewe upate sapu baba weee.. unataka makarai tupate sisi tu??

Sema Accounts niliandaaga zinga la mkakibomu nani afee... halaf eti mtu asisome hesabu. Ma huku social utasoma macro na micro economics. Bahati yao bukwimba kahamia masters huko boyaa huyu
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,486
2,000
Umedanganya yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwendaaaaaa..... nimedanganya nn? Nikudanganye kitu nilichosomea?

Halaf hii course iko kisiasa tu.. ingekua rai yangu nisingeisoma maana mnaambiwa hii course ni marketable maana ndo moya mpya. IFM ilianza 2009 as first graduants kama sikosei. Ila kwenye ajira hamna lolote waongooo...

Ingekua rai yangu leo hio wallah kama ni chuo ningeenda jifunza kilimo na ufugaji.

Hivi hakuna taasisi wanazofundisha pasipo mitihani?
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,486
2,000
Ajue akitoka chuoni kwa kozi yoyo anayoisoma ataenda kazini ambako matumizi ya hesabu hayakwepeki
Hii course nadhani ni hilo jina linawaongopeaga. Wakisikia social protection wanajua kazi za kawaida kama hizi za majukwaani tu.

Binamu yangu aliichagua akaingia tu na kugraduate 1st semister... yaan alidisco kijumlaaa. Akajiendea zake sociology sauti
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,535
2,000
Hii course nadhani ni hilo jina linawaongopeaga. Wakisikia social protection wanajua kazi za kawaida kama hizi za majukwaani tu.

Binamu yangu aliichagua akaingia tu na kugraduate 1st semister... yaan alidisco kijumlaaa. Akajiendea zake sociology sauti

Miaka hiyo ya 2000s tuliosoma Comp Sc na IT IFM tulisoma Accounts bila kupenda.
Tulipoanza kazi tulishukuru Mungu kupata zile ABC za accounts
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,486
2,000
Miaka hiyo ya 2000s tuliosoma Comp Sc na IT IFM tulisoma Accounts bila kupenda.
Tulipoanza kazi tulishukuru Mungu kupata zile ABC za accounts
Ooh yeaah... yaani unajua vzr mambo ya tally huko, kubalance etc. Leo hatoona umuhimu ila hajui kwamba ni hot cake
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,213
2,000
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.

Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu.

Lengo lenu nini?

Mnatukwaza Manguin'
Huwezi kimbia hesabu.
 
SUKAH

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
929
1,000
Ikiwa wewe ni msomi hasa wa chuo kikuu, kuikimbia hisabati ni kujidanganya.

Hili lazima tuambizane ukweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom