IFM alumni...!!!!

Hahahahah yule kaka daah .... nakumbuka alinifundisha law anasifa saaana
Alinikamata LW711first year ila nikachomoA. KUNA yule dingi kama mwarabu hivi mtaalam WA QM balaa
 
Alinikamata LW711first year ila nikachomoA. KUNA yule dingi kama mwarabu hivi mtaalam WA QM balaa

Mmmmmmh kuna mbaba fulani hivi wa QM mpole mweupe mnene mnene kidogo nasikia amefariki mwaka jana sooo sad
 
donlucchese nikakumbana tena na supp ya mkenda taxation sema nikaappleal nikachomoka,nikakumbana na Management ya Zawadi ila walimu wa pale ni shida mtu anawala vichwa zaidi ya robo 3 yaani yeye kuandika 0% anaona kawaida tu daaaa
 
Last edited:
Life after IFM is better, sijawah kukutana na IFM product kapaukapauka kifala mtaani wengi wanaishi quality life kulinganisha na product kama za UDSM au UDOM nk graduate lakn wanapauka kifalafala mtaani
Chuo cha wajanja IFM wanaotoka pale wanamaisha full UDSM shamba kule wanafundishwa maisha na wtoto wa IFM kwanza kuishi maisha ya IFM ni mtihani tosha unapisha na mitoto mikaliiii kama haijazaliwa
 
Na sisi tulio oa IFM inatuhusu?

Make mimi mpaka leo IFM imekuwa ugonjwa wangu.

Mwana FA na Jay Mo kwenye Mimi na mabinti damu damu na Kama unataka demu ndo ilikuwa chanzo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…