donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
wapo IG hahaha IFM bwana ningesoma pale nisingeweza kujigamba wanaume wanashndana na wanawake kupaka poda, kalkiti, lipbam kubana mdomo upge selfie dah tabu tupuHaahaah JF hakuna waliosoma IFM
Huu ni umbea sasawapo IG hahaha IFM bwana ningesoma pale nisingeweza kujigamba wanaume wanashndana na wanawake kupaka poda, kalkiti, lipbam kubana mdomo upge selfie dah tabu tupu
Ha haa. Wote tumesoma YouDiii!Haahaah JF hakuna waliosoma IFM
watoto wa mjini mzee waache wale batawapo IG hahaha IFM bwana ningesoma pale nisingeweza kujigamba wanaume wanashndana na wanawake kupaka poda, kalkiti, lipbam kubana mdomo upge selfie dah tabu tupu
screen saver ni zipi mkuu!?/Tupo mkuu tuzungumzie nini mkuu airport au screen saver?
mpaka wewe umesoma YouDii??Ha haa. Wote tumesoma YouDiii!
Yep! Nimesoma IFM, YouDii pia. Nina digrii nyingi sana. Zaidi ya mbili!mpaka wewe umesoma YouDii??
KUMBE TUNAFANANA TU MAANA MIMI NINA DEGREE ZAIDI YA MOJAYep! Nimesoma IFM, YouDii pia. Nina digrii nyingi sana. Zaidi ya mbili!
WAKINA ZANANA JUICELife after IFM is better, sijawah kukutana na IFM product kapaukapauka kifala mtaani wengi wanaishi quality life kulinganisha na product kama za UDSM au UDOM nk graduate lakn wanapauka kifalafala mtaani
Ata lemutuz anadai ana digirii zaidi ya mojaKUMBE TUNAFANANA TU MAANA MIMI NINA DEGREE ZAIDI YA MOJA
UNAJUA MAANA AKE!?Ata lemutuz anadai ana digirii zaidi ya moja