Ifike sehemu wanaume wa nchii hii tuvae sketi tu

Mkuu Wewe ni mwanamke halisi? Kwa kweli inaniuma sana kwa haya tunayofanyiwa mpaka sasa tunaogopa hata kuongea kwa amri majumbani mwetu! Maana sasa vimama navyo vimepata nguvu ukijidai tu unaambiwa wanaume wako escrow bwana nyie nini bwana!! Sisi ni mataahira!!

Mimi ni mwanaume halisi Lakin mtanzania nusu
 
Hahahaa haaaa
Na kweli. ..cc RUTTASHOBOLWA

Mimi huyo nilishamuweka kwenye kundi la mashangingi wa mji. Kutwa yuko kwenye umbea wa kina wema na diamond akiingia siasa ni kuwatetea mafisadi kwa mipasho ya tandale. Ndio member pekee duniani niliyemuweka kwenye ignore list
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haiwezekani watuibie pesa yetu halafu wakatae kujiuzulu na kutamba kwenye bunge letu tukufu halafu sisi watanzania tumekaa tu tumewangalia, hivi kweli nchi ina wanaume kweli na kama wapo kwanini tusivae sketi tupige umbea na wake zetu kuliko hili la kuibiwa na kubaki kuchekacheka tu hivi haya yangefanyika hata Kenya wangelitulia tu bila kufanya jambo Burkinafaso hawakuwa wajinga.

Kwa iyo suruisho lako ninikinafuata tufanye?
 
Ni upumbavu umetujaa.
Kama watu walikuwa wanashabikia katiba ya kina chenge unadhani wataacha kushabikia na kutetea uporaji km huu.
Ni aibu kuwa mtanzania !
 
Tanzania. A nation of women and ladies. Lakini hata wakati wa kudai uhuru wanaume walijificha na ni wanawake kama bibi titi ndio Walikuwa mstari wa mbele
 
Viongozi wameshagundua kuwa Watz ni misukule, wanajua wanaweza kufanya chochote wakati wowote hakuna kitakachoendelea ni upepo tuu utapita.

Tutegemee nani anaweza kulianzisha? Tunawategea wanasiasa lakini wao mwisho ni kusema tuu hakuna vitendo
 
Haiwezekani watuibie pesa yetu halafu wakatae kujiuzulu na kutamba kwenye bunge letu tukufu halafu sisi watanzania tumekaa tu tumewangalia, hivi kweli nchi ina wanaume kweli na kama wapo kwanini tusivae sketi tupige umbea na wake zetu kuliko hili la kuibiwa na kubaki kuchekacheka tu hivi haya yangefanyika hata Kenya wangelitulia tu bila kufanya jambo Burkinafaso hawakuwa wajinga.
napata shida saana kuelewa sisi watanzania ni watu wa aina gani.....waoga...wanafki,wapumbavu au tumelogwa....inaniuma saana,mpaka lini jamani,kuna vitu vya waz havihitaji ubishi bungeni ni kuwafungia watu kazi kw nguvu ya UMMA...amkeeeni jamaaaani!
 
Umesahau na kutoboa masikio na kuvaa hereni..., yaan haiwezekan watu wote tuendeshwe na majizi machache namna hii..., zivaliwe sketi mpaka kieleweke! na mkalale uchi barabarani.., stupid!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom