Ifike sehemu serikali iruhusu ndoa mikataba

Ifike sehemu serikali iruhusu ndoa mikataba

Heheheeee hii wanaume ndio watachekelea...Coz wao watakachokijua ni kubadilisha tuu wakiona mwanamke kashaanza kuchoka, kukongoroka kama kamzalisha anakimbia..

Je ndoa hiyo itakuwa na mkataba pia kwa watoto au Wanaume wakiTanzania watakuwa wakimaliza mkataba na wewe mtoto anaachiwa Mama ?

Kwanza ni waongo.Wangapi wanatii hiyo sheria ya Mpaka kifo!? Mtu akiamua tu anachepuka au anakimbia familia kabisa kwani utamlazimisha kama ameshachoka?! Wanaume wengi tena wanajiita wakristo wana nyumba ndogo si tayari mkataba huo?! Wasiisingizie serikali hata katika hili
 
aiseee..loading error.....
 
Ndoa nyingi siku hizi ni majanga mimi naona serikali ifike sehemu iruhusu ndoa mikataba kuanzia mwaka mmoja ili kuepusha misururu ya kudai talaka mahakamani, maana hali inazidi kuwa mbaya huko mahakamani mafile mengi ni ya talaka na sijui tunaelekea wapi,
Nawashangaa mabinti wanalalamika humu kwamba wanataka ndoa najiuliza hivi ndoa za siku wanazijua kweli na chanzo kikubwa cha kuvunjika ndoa ni wanawake maana wao wakichepuka akili yote inahamia kwa mchepuko tofauti na sisi wanaume hatuisahau njia kuu ingawaje na sisi wanaume tunaendekeza michepuko isiyo ya lazima hadi kupelekea kuvunja ndoa zetu suluhisho la yote ni ndoa ya mkataba ihusike.

Serikali haiwezi kuruhusu kitu ambacho haijawai kukataza. Nafikiri dini ndio zinakataza na si 'sirikali'
 
Sijaona mke wa kuoa miaka hii wanawake wameharibiwa na thamthilia za kizungu wanaigiza mpaka mapenzi cha muhimu kwa sasa ni kuwa na hata mmoja ndoa baadae sitaki stress
Hata kabla hujaoa stress kibao zinakuzonga!! Ndoa ni Kama kalata ukibahatisha mke mzuri unamshukuru Mungu jilipue bwana ukimchunguza sana bata huwezi kumla!!
 
Kwanza ni waongo.Wangapi wanatii hiyo sheria ya Mpaka kifo!? Mtu akiamua tu anachepuka au anakimbia familia kabisa kwani utamlazimisha kama ameshachoka?! Wanaume wengi tena wanajiita wakristo wana nyumba ndogo si tayari mkataba huo?! Wasiisingizie serikali hata katika hili
Dini ni ya mtu binafsi na siku ya mwisho ya hukumu kila mtu ataijibia nafsi yake kwa jina lake!! Kwahiyo wote wanaofanya mchepuko nao watajibu mbele za Mungu pia!
 
Wengi wanaingia katika ndoa wakiwa na mitazamo ya aina moja tu yaan kutarajia mazuri tu.
Lakini pia wengi wa wanandoa huingia kwenye ndoa na nyuso za bandia fake smile hawaoneshi uhalisia wa tabia zao.
Wengi wanaingia pasipo kutathimini gharama ya hilo wanaloliingia.
Kusudi la ndoa ni watu wawili kukubaliana kuishi pamoja katika mazingira yeyote Yale yakigubikwa na upendo.
 
Back
Top Bottom