Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?


hana lolote huyo Pasco, keshaona kachemka....
 
kuhudhulia maziko siyo sababu ya kufanye kusamehe watenda maovu hata kama hawajajirekebisha wala kutubu makosa. sio kila mtu umpe mkono wako. mia
 
JK aliupora msiba ule ili kujipandisha chati. Siku hizi hata watoto wadogo wanamsema ni rais dhaifu. Anatafuta misiba ili kujikweza!
Well said.....K.bangi...
@Pasco....i wonder...ulitegemea kushikana mikono kungeleta mabadiliko?huu unafiki wa kudanganyana na hizi gesture za kinafiki wakati watanzania wengi wanataabika na wengine kufungwa midomo wasiitetee nchi sijui utaisha lini nchi hii...mnapenda kuweka siasa kwenye mambo ya msingi ndio sababu jambo dogo tu la kushikana mikono mnataka kulifanya kubwa.....mnataka watu wasahau the real essence ya upendo ulioonyeshwa na watanzania kwa late R.Mtema kwa kutaka kuleta discussion ya gesture ya kushikana mikono!!!!...this burrial thing was for the late R.Mtema na si JK na kushikana mikono na Dr.Slaa...ondoa hii kitu hapa.......
 

Hapo nimekuelewa
 
Pasco,
Watu wengi wanakuheshimu sana hapa ndani. Mimi ni mmoja wao.
Nadhani utajifunza kuwa kuandikahapa bila research kuna impact!....Negative impact!...suppose ungekuwa umeongea kwa krefu na Dr.Slaa ndio uje kuandika, usingeandika ile biasness ya kwenye original thread!
Umenisikitisha sana kwa vile unatafuta mambo ambayo yana'insinuate chuki kati ya wakuu wa vyama, hadi level ya wafuasi!.
Tumia kalamu kujenga ndugu Pasco!
 

Umefanya kazi nzuri na kuleta jibu la maana. Kumbe Dr Slaa haogopi majini yaliyoganda kwenye viganja vya JK Kama wahuni wanavyosema. OK! Tunajua Dr Slaa ni mtu wa pilika, nadhani maneno aliyosema ni kweli tupu.
 
PJ usimpandishe chati huyu hatuwezi kumueshimu mtu mropokaji humu, ukiangalia protokali ilivyo ya serikali yetu, popte pale Rais ndo huanza kusalimia mtu/watu,
so kwa mantiki hiyo angeandika JK hakusalimiana na Slaa kwa nn?
 
Pasco,

Wewe ulikuwa ifakara, Dr Slaa vivyo hivyo. Kisa cha kuleta hisia zako hapa ilikuwa kwa lengo gani.

Uvivu wa kufikiri alosema Mkapa ni upi kama sio huu....? Ni vile nakusheshimu tu.....
 
Nasikia mara nyingi madokta huwa hawapendani hasa ikiwa mmoja wao ni dr feki. Sijui kati ya slaa na yule fisadi nani dr wa ukweli .
 
Guys,
We really are not interested in this kind of discussion you are bringing here!
Each of you entails a group of fans, who automatically will get flabagasted to see this kind of communication u guys use!...huh!
PJ naona una kirangaraizi hapa..lol
 
hata mimi sikusalimiana na Jk. Ila si big deal ni jambo la kawaida kwa wakubwa kama mimi kuwa bize sometimes.
 

Kungekuwa na shindano la watu wanaoanzisha thread kwa kukurupka wewe bila ya shaka ungekuwa namba moja.

Kwa kutumia akili yako kutosalimiana kwa JK na Slaa ndiyo CDM kiwe chama cha kususa!!!!!!

Acha kutumika vibaya mtoto wa kiume wewe, kichwa maji kabisa.

Najiandaa kwa ban kabisa kutokana na uzushi wako wa kila mara na chuki dhidi ya Dr. Slaa na CDM!!!!
 
Pasco nakuomba sana uache ushabiki pindi unapotoa thread ambazo unajua zitagusa wengi. Ni bora uka base kwenye facts kuliko matakwa na utashi.

Siyo mara ya kwanza kuinanga CDM jukwaani, lakini ukiona hali inataka kuwa tete unatumia ujanja ujanja kufanya conclusion. Acha ubabaishaji haukusaidiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…