Hujasoma
Mbaroni kwa kumnajisi mtoto msikitini Liwale
Shatani hana dini, turudi kwenye Mada. Shule hiyo iko vizuri sana
Hujasoma
Mbaroni kwa kumnajisi mtoto msikitini Liwale
Shatani hana dini, turudi kwenye Mada. Shule hiyo iko vizuri sana
Sijawahi kuona msimamo wowote Labda unafanyikia gizani. Kabla ya msimamo kunaanza kujitambua. Na mwanadamu anayejitambua hawezi kuingiza hbr kama zako kwenye thread hii. Anaanzisha yk na huko utajibiwa vzr tu hoja zako. Misimamo iliishia June 632Naam, kwenye msafara wa mamba kenge hakosekani. Huo ndiyo ukweli.
Lakini pia ujue kuwa katika hali ya kuutazama ukweli, ulikutana na kitu kama hicho msikitini hata wewe usiye Muislam unaona ni ajabu kubwa kwani nnauhakika unaijuwa misimamo ya Uislam na Waislam.
Lakini on the hand ukitazama makanisani kama hujaona mambo ya upuuzi kama hayo kutokea utaona ni ajabu kubwa sana kwani uozo makanisani ndiyo pake.
Tena si Tanzania tu, hilo ni tatizo kubwa kwa jamii zote za kikristo duniani, jisomee:
Catholic Church sexual abuse cases - Wikipedia, the free encyclopedia
Unless uwe mtetea maovu tu ndiyo utaona kuwa hiyo si kansa iliyopo makanisani.
Unapoteza muda wako bure kudebate na robot.Sijawahi kuona msimamo wowote Labda unafanyikia gizani. Kabla ya msimamo kunaanza kujitambua. Na mwanadamu anayejitambua hawezi kuingiza hbr kama zako kwenye thread hii. Anaanzisha yk na huko utajibiwa vzr tu hoja zako. Misimamo iliishia June 632
Asante mkuu, nimeretminate debate ngoja aelendelee kupaka rangi upepoUnapoteza muda wako bure kudebate na robot.
Hongera .. travela na explorer wetu !!! natamani nipaone mubashara !!
Aisee ulikuwa darasa moja nyuma yangu.
Chagua kati ya zawadi hizi; mbudi, skonzi, nyali, mandomba nk.
Kassie, mie siyo mchokodhi bhana...Zamiiii unaanza uchokozi eeehh.......
Of course Kasie anapenda kusafiri sanaaa, sasa lini tusafiri wote kuitafuta hiyo shule hapo na kupiga picha......
If you are interested lets explore the world..... we live once you know..... au uko allergic na safari?
(mubashara ndo wapi?) kiswahili kigumu ujue kuliko kizungu...... hehehehee
Tayari jibu limeshapatikana wewe unakalia kusema Lushoto tu bila kusoma post za nyuma.Lushoto
Kassie, mie siyo mchokodhi bhana...
acha nikupe maana ya neno Mubashara ni neno la kiarabu yaani "kubashiria jambo live" na kwa kiingereza ni LIVE on air.. sasa ukiletewa ujumbe live hewani wasema Mubashara !! Nimesikia hapo TZ kuna channel ya TV inalitumia neno hilo !!
Sasa turejee katika Exploration.... wee nipeleke maana mie ni kipofu hupelekwa tu....
Na'am kassie, itifaki kuzingatiwa.....Hhahahahahaa yeah nilisikia na ilikuwa ITV, ile siku ya chama kubwa kuchagua mwenyekiti wao.
Unaona sasa ulivyo mtundu wa kuweka maneno magumu magumu hahhahhahaaaa
Nikikupeleka inabidi ukubaliane tuu na hali na mahali nnapokupeleka maana Kasie ni zaidi ya mwendo kasi maana ni fast and furious.......
Ntakupeleka Lushoto tuka explore the mother nature of Tanga in Nyika Land ..........
Hapo tutapata wasaa wa kuwa mubashara Kasie na Zammi....... au waonajee??
Jionee aibu.
Maua Semina Seminary...Fransiscan Capuchin Maua Seminary Marangu Kilimanjaro
[emoji23] habari yako Licongo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unafaa kwa chakula pia. Ilimradi inapenya.