Ifahamu kamandi ya jeshi la Anga

Ifahamu kamandi ya jeshi la Anga

Wkati ningali mdogo, cheo cha Kapteni jeshini kilikuwa kikubwa sana, kwani hata ukikumbuka kuwa aliyepandisha mwenye mlima Kilianjaro alikuwa ni Luteni Nyirenda. Afisa niliyemhusu sana zaid ya Kanali <Mahfudhi alikuwa ni Kapteni Mushi wakati huo jeshi likiongozwa na Brigadier. Kwa muundo wa jeshi la Tanzania leo, Kapteni na Kanali ni vyeo vya chini sana kwani kuna majenerali wengi sana juu yao.
 
Wkati ningali mdogo, cheo cha Kapteni jeshini kilikuwa kikubwa sana, kwani hata ukikumbuka kuwa aliyepandisha mwenye mlima Kilianjaro alikuwa ni Luteni Nyirenda. Afisa niliyemhusu sana zaid ya Kanali <Mahfudhi alikuwa ni Kapteni Mushi wakati huo jeshi likiongozwa na Brigadier. Kwa muundo wa jeshi la Tanzania leo, Kapteni na Kanali ni vyeo vya chini sana kwani kuna majenerali wengi sana juu yao.
Ila makapteni ndio watendaji wakuu field

View: https://www.facebook.com/share/v/1BoxzbpESC/
 
Kamandi ya Jeshi la Anga ni moja ya Kamandi muhimu zinazounda Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kiutendaji, kivita na kiutawala. Kamandi ya Jeshi la Anga inayo majukumu ya ziada ya msingi katika kutimiza wajibu wake wa ulinzi wa Anga la Tanzania. Kamandi hiyo inao uzoefu wa kusafirisha maafisa na askari wakati wa amani na dharura, pia husaidia mamlaka za kiraia katika kutimiza wajibu wake na kusafirisha mizigo.

Juhudi za awali za kuunda nguvu za Jeshi la Anga ndani ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania zilianza mapema mwaka 1964 pale ambapo kikundi cha maafisa kadhaa walipelekwa nchini Israeli na Ujerumani ya Magharibi wakati huo kusomea urubani.

Hata hivyo, wanafunzi waliokwenda kujifunza urubani katika nchi ya Ujerumani ya Magharibi hawakuweza kumaliza mafunzo ya urubani kutokana na kuvunjika kwa uhusiano wa kibalozi baina ya Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi mwaka 1965.

Baada ya jitihada za muda, hatimae kikosi cha usafirishaji wa anga kilianza operesheni mwaka 1969 kikiwa na ndege mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ndege nne aina ya OTTER na zilizosalia za CARRIBOU. Wakati wote wa chimbuko la nguvu za anga shughuli zote za kioperesheni zilizohusu vikosi na vitengo vya ulinzi wa anga viliongozwa na Tawi la Operesheni na Mafunzo (COT) la Makao Makuu ya Jeshi.

Mwaka 1971 kilianzishwa kikosi maalum cha mizinga ya kutungulia ndege kikiongozwa na Kapteni Abdallah, makao yake yakiwepo Mgulani. Maafisa wa mwanzo walipelekwa Pakistan na India kwa mafunzo ya mizinga hiyo. Mwaka huohuo Rais na Amiri Jeshi Mkuu (mstaafu) Mwl. Julius K. Nyerere aliagiza Jeshi lipatiwe ndegevita.

Mwaka 1973 timu ya marubani wanafunzi 48 wakiongozwa na Meja JE Luhanga(alistaafu akiwa Meja Jenerali) walihitimu mafunzo yao nchini China na wakaanzisha kikosi cha kwanza cha ndegevita

Maendeleo makubwa yalifanyika katika kipindi cha miaka mitano ambapo idadi ya vikosi na zana za Ulinzi wa Anga viliongezeka. Mwaka 1975 vikosi vya Rada vilianzishwa na kugawiwa kanda za uchunguzi wa Anga, kipindi hichohicho vikosi vya makombora matiifu ya kutungulia ndege (SAM) vilianzishwa katika miji mbalimbali.

Utaratibu wa utendaji kivita na mafunzo wa vikosi vyote vya ulinzi wa anga toka 1974 hadi 1982 ulifanywa na Tawi la Makao Makuu ya Jeshi (MMJ) la Chief of Air Defence (CAD) chini ya Kanali SA Hemedi, ambaye baadae alipandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali.

Majukumu ya Kamandi ya Anga.

a. Kutoa ulinzi wa Anga kwa maeneo muhimu ya kitaifa, kisiasa, kiuchumi na kwa Wananchi,

b. Kutoa ulinzi wa Anga kwa maeneo na vituo muhimu vya kijeshi na mkusanyiko wa Majeshi,

c. Kutoa msaada wa kimapigano kwa operesheni za Majeshi ya Nchi Kavu na Wanamaji,

d. Kutoa msaada kwa mamlaka za kiraia hasa nyakati za maafa ya kitaifa na kusindikiza ndege za viongozi pia hukusanya taarifa za kiusalama,

e. Kuendeleza juhudi za mahusiano ya kijeshi na nchi nyingine kwa njia ya mazoezi ya pamoja.

f. Kushiriki katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa.

Chanzo: TPDF

View attachment 3483433
Majukumu muhimu sana ndani ya taifa.
 
Hao waache ndio wanaotupa mizuka

Wakijitokeza wanajeshi wengine saizi wawili watatu tu, hutaona hizi ngebe kwa hao malofa kwasababu sasa haitohitaji tafsiri kwani kila mtu atakuwa ashajua uelekeo tuliopo sasa.

Mimi nawasoma wote wale waliokuwa wanapiga piga kelele za kuisifia hii serikali, huko mbeleni tusione shobo zao kujifanya wanaungana na sisi baada ya kuona upande wa watawala umezidiwa.

Hapa namkusudia Diamond, Ommy Dimpoz na wajinga wenzake. Lakini yule msng anayetembea peku yule naye yumo kwenye list.

Mambo yakisha settle tutambeza kwenye mbigili tuone how tough he is.
Mimi nashangaa watu wanaosupport serikali ya Samia humu JF, hata kama kila mtu ana opinion zake najiuliza huwa wananufaika na nini?
Ina maana kwao wanaona nchi ipo kwenye uelekeo mzuri?
Na hawa viongozi, kwa nini hawataki Tanzania iendelee. Mbona wana roho mbaya hivi, hawa akina Samia, Kikwete, Rostam, Abdul na genge lao lote. Nchi anapaswa kupewa mtu mwenye uchungu nayo, sio tu ilimradi
Samia serikali yake mbovu ila bado kuna watu wanamsupport.
Sasa hapa nasubiri kuiona Tanzania mpya, machawa sijui wataweka wapi sura zao
 
Mimi nashangaa watu wanaosupport serikali ya Samia humu JF, hata kama kila mtu ana opinion zake najiuliza huwa wananufaika na nini?
Ina maana kwao wanaona nchi ipo kwenye uelekeo mzuri?
Na hawa viongozi, kwa nini hawataki Tanzania iendelee. Mbona wana roho mbaya hivi, hawa akina Samia, Kikwete, Rostam, Abdul na genge lao lote. Nchi anapaswa kupewa mtu mwenye uchungu nayo, sio tu ilimradi
Samia serikali yake mbovu ila bado kuna watu wanamsupport.
Sasa hapa nasubiri kuiona Tanzania mpya, machawa sijui wataweka wapi sura zao
Mkuu sehemu yeyote ile wapumbavu hawawezi kukosekana ila kwa Bongo hali ni mbaya zaidi.

Kuna watu humu ni malegend na wanaheshimika lakini ukianza kusikia maoni yao unatamani upate fursa ya kumuona hata muonekano wake anaonekana vipi.

Hao watu ni wakuwapuuza lakini tusiacha kuwapa sababu za kwanini tunawapuuza kwa kuwaambia sifa yao ya UJINGA na UPUMBAVU uliopitiliza.

Samia na genge lake walishindwa kusoma alama za nyakati, kuna mambo kabla ya kutokea huwa zinatangulia ishara.

Kosa lao ni kupuuza hizo signs kwa kuamini bado wanayo nguvu ya ku retain na ku fix vitu vikae sawa kwa upande wao.

Muda ndio huu na bahati mbaya haupo rafiki kwa upande wao, sasa kuna morale inazidi kuongezeka kwa kasi kwa wananchi na kwa wale wote ambao wapo kwenye mfumo na hawafurahishwi na kinachoendelea.

Kwa hali ilivyokuwa sasa tarajia kusikia Afisa yeyote au kigogo mwingine akiunga juhudi za Captain Tesha na kuwafanya watawala wazidi kupata paranoia.
 
Kepteni kama Kepten
1759645250852.jpg
 
Back
Top Bottom