Ifahamu filamu ya JALSA

Ifahamu filamu ya JALSA

FananiMedia

Member
Joined
Jul 29, 2021
Posts
28
Reaction score
87
Maya ni mwandishi wa Habari maarufu,
Umaarufu unatikana na namna anavyo pambana kutoa taarifa za kina na ndani sana pamoja na uwazi kwenye tasnia ya habari.

Akiwa nyumbani Maya ni mama wa mtoto mmoja anaitwa Aayush pia anaishi na Mama yake kutokana na majukumu ya kazi na mtoto Maya ana mfanya kazi anae itwa Rukhsana ambae huyu alikua anakuja na kuondoka akifanya kazi kama mpishi.

Siku Maya anamuomba Rukh afanye kazi mpaka usiku sana akimuangalia mtoto wake kwa sababu angechelewa kurudi siku hiyo.

Maya akiwa anarudi home njiani kuna mtoto analivagaa gari lake na kujikuta ana mgonga na gari mtoto huyo,.
Kutoka na uoga hakusimama kumsaidia

Balaa lina kuja kumbe huyo mtoto aliyemgonga ni wa Rukh (mfanyakazi wake anaemsaidia kupika Home).

Dogo aliyegongwa hakufa lakini alikua katika hali mbaya sana(ICU),
Maya alipogundua hilo akajifanya kujitolea kwa kumuhamisha kwenye Hospitali nzuri ili kupata matibabu roho ilikua inamuuma sana.

Lakini mbaya zaidi ni namna Rukh alivyokua anaapia kwamba akimpata aliyemgonga mtoto wake ambaye ni bosi wake lakini hajuu.

Ebhana mzigo upo #fananimovies unaletewa popote Dar es salaam.
IMG_20220324_233623_307.jpg
 
Back
Top Bottom