'..If Wishes were Horses, Beggars would Ride...'

'..If Wishes were Horses, Beggars would Ride...'

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,052
Reaction score
2,846
Wanabodi natumani mu wazima!

Labda nianze hivi..mara nyingi kama binadamu kila mtu kwa nafasi yake huwa 'anatamani' kitu flani maishani mwake. Anaweza kutamani kuwa kama mtu 'flani' ...kuishi maisha flani, kumiliki vitu 'flani' au wakati mwingine kuwa na mwenzi wa aina 'flani'. Ila kwa bahati mbaya sana kutamani kuwa kama flani au kumiliki vitu flani au kumpata mume au mke wa aina flani ni jambo jengine na kutia 'nia' pamoja na kuonyesha 'kivitendo' namna ya kuvipata hivyo vitu au aina ya maisha uyatakayo ni jambo jengine. Kupata jambo unalolitamani sio kazi rahisi sana kama wewe mwenyewe hauwi sehemu ya mkakati. Vinginevyo 'wishes' zinabaki kuwa 'wishes'.................

If wishing could make things happen, then even the most destitute people would have everything they wanted

Usitegemee kumpata MUME bora kama wewe mwenyewe sio MKE bora aisee...Huwezi kukaa tu kujibwetekea ilihali unawaza upate MUME kibopa..You should also build a spirit ambayo itamfanya huyo mume kibopa aone potentials ambazo ziko within yourself. Pia naamini huwezi tu kukaa ukawish kumpata MKE alotulia kama wewe mwenyewe ni Kiwembe na zipu yako haifungi. Ushauri wangu ni kuwa tuwe na sisi sehemu ya kutengeneza MAMBO mazuri tunayoyawish badala ya kudhani yatadondoshwa kama Manna toka mbinguni...
If ifs and buts were candy and nuts we would have a merry Christmas

Karibuni kwa mjadala.....
 
Wanasemaga a HIV free generation it begins with you..kwaio ni kwamba changes ulete mwenyewe at the very beginning kabisa
 
Lyamber you got it right buddy..wanasemaga fortunes fall on those who are brave..


Wanasemaga a HIV free generation it begins with you..kwaio ni kwamba changes ulete mwenyewe at the very beginning kabisa
 
Last edited by a moderator:
Stephen King wrote -“you can, you should, and if you’re brave enough to start, you will.”
 
Mtu kuwa na sifa za mume/mke bora haiguarantee kupata mwenye sifa za ubora kama yeye, kwa jamii ya ktz mfano wakiume wengi hawana sifa za mume bora wengi ni wanaume libolo tu
 
saudari.....mume bora au mke bora anafahamika kwa sababu wanasema 'kizuri chajiuza'...
Huitaji kusoma sana kujua sifa za mke au mume bora...kama vipi soma nyuzi za Mtambuzi

Hebu nifafanulie utumiaji wako wa mume bora katika sentensi yako.
Na pia nipe ufafafnuzi wa mke asiye mwema?
 
Last edited by a moderator:
nikiwe kwa nini umesema hayo maneno niliyobold?
Nilidhani ndege wenye mabawa ya kufanana huruka pamoja...

Mtu kuwa na sifa za mume/mke bora haiguarantee kupata mwenye sifa za ubora kama yeye, kwa jamii ya ktz mfano wakiume wengi hawana sifa za mume bora wengi ni wanaume libolo tu
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei nakumbuka hata Bwana Yesu alisema 'Imani bila matendo ni bure'
We should strive to get what we wish to have by acting and not dreaming...


Stephen King wrote -"you can, you should, and if you're brave enough to start, you will."
 
Last edited by a moderator:
umesema kweli kaka ,kuna watu wapo too demanding while wao wana weakness kibao
kuna wakaka wanafunga na kuomba OOOH mungu ulisema mke mwema anatoka kwako..lakini kila siku wapo guest namijimama.
NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA!
KAMA WEWE NI BUNDI TARAJIA KURUKA NA BUNDI MWENZAKO,KAMWE BUNDI HAWEZI KUONGOZANA NA NJIWA!
 
hebu nifafanulie utumiaji wako wa mume bora katika sentensi yako.
Na pia nipe ufafafnuzi wa mke asiye mwema?
mke /mume mwema ni yule ambae utajikuta tu mnaweza kuishi pamoja malengo yenu yakiwa mamoja kwa upendo katika safari yenu ya hapa duniani.
 
Smile ..na wewe asante kwa kunogesha mnakasha...nimependa maneno yako...like as i said kila mtu ana stake ya kufanikisha ndoto zake...hapa babu Dark City nadhani anajua. Kudhani kuwa wewe unastahili kupata kilicho bora wakati wewe mwenyewe hujitengenezi kuwa bora ni kutia maji kwenye tenga tu ukidhani utalijaza. Eti walimu wangu gfsonwin na snowhite ..ni kweli kuwa na nyinyi huwa hamfanyi bidii kufikia malengo yenu??..are you the wishers??

umesema kweli kaka ,kuna watu wapo too demanding while wao wana weakness kibao
kuna wakaka wanafunga na kuomba OOOH mungu ulisema mke mwema anatoka kwako..lakini kila siku wapo guest namijimama.
NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA!
KAMA WEWE NI BUNDI TARAJIA KURUKA NA BUNDI MWENZAKO,KAMWE BUNDI HAWEZI KUONGOZANA NA NJIWA!
 
Last edited by a moderator:
Well said Smile ...kitu bora ni kile ambacho hakikupi maumivu au masononeko..full upendo mwaka mzima!!!

mke /mume mwema ni yule ambae utajikuta tu mnaweza kuishi pamoja malengo yenu yakiwa mamoja kwa upendo katika safari yenu ya hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
if wishes were horses i would be slamming bentley doors and hoppin from the porsche ....
Without forgeting kuwa ningekuwa nammiliki yule mdada
 
smile ..na wewe asante kwa kunogesha mnakasha...nimependa maneno yako...like as i said kila mtu ana stake ya kufanikisha ndoto zake...hapa babu dark city nadhani anajua. Kudhani kuwa wewe unastahili kupata kilicho bora wakati wewe mwenyewe hujitengenezi kuwa bora ni kutia maji kwenye tenga tu ukidhani utalijaza. Eti walimu wangu gfsonwin na snowhite ..ni kweli kuwa na nyinyi huwa hamfanyi bidii kufikia malengo yenu??..are you the wishers??
teh thax kwa compliment kaka
kuna watu wanapenda kuchagua chagua ila ukimuangalia yeye ptuuu uozo mtupu hafai hata kwa kachumbari
ujue kila binadamu ana mapungufu yake, wengine wanarekebishika
nakumbuka katika kipindi cha ujana wangu hapo nyuma nilishawai kumdate mkaka mmoja hivi ,by that time nimekutana nae ndo nilikuwa nimemaliza chuo nikapata kikazi flani so nilikuwa nipo vizuri na yeye alikuwa vizuri tu yaani50/50.bahati mbaya mi kile kimkataba changu kikaisha bwana...so nikawa namtegemea tegemea si unajua maza alikuwa mgonjwa so home mambo hayakuwa fresh kivile.dah basi bwana akaanza visa visa kunijazia makasoro kibao oooh huna bikra. Huwezi kazi nk
mungu si athumani bwana nikaja nikapata kazi na yeye videal vyake uchwara kwishney ananitafuta eti mburula yule .from there nilijifunza mambo mengi sana sana huwa naangalia wanaume hivi nacheka tu maana dah kuujua moyo wa mtu ni kazi .kuna watu wana roho mbaya jamani ila kwa uso ?????????!
Kuna watu feki sana ila wpo busy kufatuta original.tujitahidi kuwa wazuri kwanza sisi wenyewe
 
Ila tukubaliane kwamba mtu anaweza kubadilika kutokana na sehemu alipofikia. Hapa tunahusisha katika mabadiliko ya tabia, mke/mume anaweza kumbadilisha mwenzake na kumfanya kuwa mtu bora kabisa.
soma post yangu ya 19 kaka
 
Back
Top Bottom