SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
If If if . . . .
If wishes were horses ningekuwa na hips kama za Smile
Nicas Mtei nakumbuka hata Bwana Yesu alisema 'Imani bila matendo ni bure'
We should strive to get what we wish to have by acting and not dreaming...
yap nimependa kukuonyesha tu picha ya huyu jamaaSmile ..ila hii inatokea kotekote..bahati mbaya kwako it was a man..but it sometimes happen women nao wakabehave like that of your ex-bf...
eti smile ana hips?hahahahahahahahaha.
yap nimependa kukuonyesha tu picha ya huyu jamaa
! anataka mke wa aina gani?maana mimi aliniacha cause ya kuwa na matatizo sio ,na mwingine atakuwa na shida ingine tena .then anadai kila siku eti apate wapi mke mwema!
aahaaa ndo hivo kaka! hizi mambo za mapartner huitaji kutumia nguvu ujue!Na ukimkuta kwenye maombi yake..na yeye anamuomba maulana ampe mke 'mvumilivu'...ryte?
Wakti yeye ameshindwa kukuvumilia ulipofulia....
Ndo maana nasema if wishes were horses , beggars would ride...lolz
ahahaaaa duhif wishes were horses i would be slamming bentley doors and hoppin from the porsche ....
Without forgeting kuwa ningekuwa nammiliki yule mdada
nikiwe kwa nini umesema hayo maneno niliyobold?
Nilidhani ndege wenye mabawa ya kufanana huruka pamoja...
Its simple, hata ukitazama ktk jamii yetu utakuta baba bora mama kimeo ama mama bora ila baba kimeo...walio bora wanavutiwa na walo less in ubora waswahili wenyewe wakwambia gari bovu huvutwa na zima, ni nadra sana kwa jamii yetu upate a perfect couple