If things are not good at all. what will you do?

If things are not good at all. what will you do?

Niseme tu akili nikama imestak hivi nikifikiria hiki inakuja picha yake nikifikiria Kile picha yake navitu vingine ambavo sivielewi elevi na havina afya kabisa
Ana bahati ya kupendwa hongera zake!
 
Music would just do for me, go through MMU and Jokes Forums, Talk to your best friend, share your problem, just let it out.
Nikweli but kuna matatizo mengine nisiri ya wawili hutakiwi kutangaza kwa hawa binadamu hawa wakileo.. wewe unamwambia yeye ndokwanza anaenda kusambaza.. Na si Kila matatizo yako uwambie watu wenyewe hawa majirani kutwa nzima kujungua tu . for going through social networks yeah I agree with that.. Thanks
 
Ndoivo yani it started yesterday naleo asubuhi I called him several times but no answer call call call weeee wapi kazini call call call weeee no answer hata kitafunwa nimeshindwa kula nimekunywa chai tu napo robo kikombe naona giza tu call call call weeee wapi nikarud home ndoivo naona matope tu.. Nikajikaza kusabuni nisiwaze teh nazima Simi nawasha zima washa ivoivo eti hii mida ya jion Jioni kabisa ndomtu ananipigia....nami wala sijapokea make nina hasira sana yani hatutaelewana kwa sasa I know myself.
Ulikosea, you call a person only once. Asipopokea maana yake yupo busy au mbali na simu na obviously ataona missed call yako, asipopiga maana yake hataki. Ukipiga mara 20 haisaidii, zaidi sana unampa kichwa.

Next time don't do that...
 
Just leave everything, take your bible, read the Psalms and enjoy the good book. Waweza potea kabisa wala usijue umelala saa ngapi. Pray, talk to your Father who art in heaven. Don't lament just talk to Him as your Dady and also give him time to talk back. Uta enjoy really. Weka ma songi ya injili haswa yale ya slow utashangaa how fast stress can fly away
 
Ulikosea, you call a person only once. Asipopokea maana yake yupo busy au mbali na simu na obviously ataona missed call yako, asipopiga maana yake hataki. Ukipiga mara 20 haisaidii, zaidi sana unampa kichwa.

Next time don't do that...
Mhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhmh thanks ila mhmmhmhmhmh!
 
Stress za mapenzi mbaya sana nakumbuka nilikosaga usingizi siku mbili ila nilipomueleza my friend nilipata nguvu na maisha yakaenda
 
Ulikosea, you call a person only once. Asipopokea maana yake yupo busy au mbali na simu na obviously ataona missed call yako, asipopiga maana yake hataki. Ukipiga mara 20 haisaidii, zaidi sana unampa kichwa.

Next time don't do that...
Bratan hapo ndo ninapomkubali shem wako.. Akipiga simu mara moja haijapokelewa basi atatulia mpaka hapo atakapopigiwa..
 
Ndoivo yani it started yesterday naleo asubuhi I called him several times but no answer call call call weeee wapi kazini call call call weeee no answer hata kitafunwa nimeshindwa kula nimekunywa chai tu napo robo kikombe naona giza tu call call call weeee wapi nikarud home ndoivo naona matope tu.. Nikajikaza kusabuni nisiwaze teh nazima Simi nawasha zima washa ivoivo eti hii mida ya jion Jioni kabisa ndomtu ananipigia....nami wala sijapokea make nina hasira sana yani hatutaelewana kwa sasa I know myself.
Pole mamy ila kama unampenda usijitese pokea ongea nae mpuuze pia.. kama unaona moyo umechoka mtwange kibuti now usiwaze mara mbili kiwashe be single huwezi lazimisha mapenzi
 
Pole sana mkuu.. Japo haya mateso umejiongezea mwenyewe.. Alivyopiga ungepokea na kumsikiliza uenda ingesaidia
 
Hello friends,

If you are just t home, alone, stressed, hamu ya kula hamna, usingizi hauji, mkikaa na majirani stori haziendi unajikuta ilimradi upoupo tu uangalie muvi wapi, sikiliza muziki wapi, weka sauti kubwa wapi wewe ni kuwaza na kuwazua tu hupati majibu, pombe hunywi na upo bushi yani you see everything as hell. What else can you do in order to be okay and happy?

Hapo kazini masaa ya kazi yameisha kimagumashi tu you was so boring. Bora kazini walau ulikua bize sasa umerudi kwako and you feel some sorts of fucking shits yani kama kama mizimu si mizimu watu si watu midoli si midoli what are you going to do otherwise it is as if you are going die.

Utafanya nini?
Nilishawahi kujikuta kwenye same situation,siku moja nikapata idea moja iliyochange the whole situation
 
Back
Top Bottom