Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,016
- 177,327
- Thread starter
- #141
Asante kwa kunielekeza ubandidu kwenye mapenzi haha kama utani vileNaona kweli umependa, limit yourself wakati mwingine, hata kama unaona sio kitu kirahisi. Sasa ulivyopiga mara mia alipokea? Zaidi sana alipiga alipojisikia, baada ya wewe kufwaaa...hahaha!!