If things are not good at all. what will you do?

If things are not good at all. what will you do?

Zaburi ya 23
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa nakitu............. ..................naam nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya ..........gongo lako nafimbo yako vyanifariji....
Amina barikiwa sana member
 
I have of course and he is the causative agent of all these. we are not in a good terms let's say.

Then nothing will comfort u unless u solve ur issues wit him....u either break up o forgive him n move on
 
Ukute yeye wala hakuwazii.
Pole sana.Toka katembee tembee;ongea na marafiki
 
Me too feel that way sometymes. well.
Just face your problem try calling, talking to him kwa calm sound sio lazima muongee ishu mnayosumbuana nayo saivi muongeleshe mengine. Kama hapokei its oky . take your time . go for jogging mbaaali. Vizuri ungepata mahali pana sight nzuri kama scene(land scapr). Or sight seeing fulani.rud umesweat na kuchoka saana relax kula , pata maji mengi pray then utalala japo kidogo . . .ungekua unakunywa ungeshushia na ka achol but sio sana kama 1 unit of beer they utalala vizur
Ndoivo yani it started yesterday naleo asubuhi I called him several times but no answer call call call weeee wapi kazini call call call weeee no answer hata kitafunwa nimeshindwa kula nimekunywa chai tu napo robo kikombe naona giza tu call call call weeee wapi nikarud home ndoivo naona matope tu.. Nikajikaza kusabuni nisiwaze teh nazima Simi nawasha zima washa ivoivo eti hii mida ya jion Jioni kabisa ndomtu ananipigia....nami wala sijapokea make nina hasira sana yani hatutaelewana kwa sasa I know myself.
 
Asante sana
Kitu kingine nikutafuta kitu ambacho ungependa ufanikiwe nacho...mfano biashara, kulima au chochote anza kukitafutia namna ya kukifanya katika ubora wa hali ya juu. Steps zake I am sure hutapata muda wa kupoteza au kuwaza mambo negative. Kama ni namna ya kupata fedha ya kuinvest, dadavua njia zote ukatavyoweza kuipata. Otherwise, find a best friend talk to him/her about your problems. Usiogope atakuonaje au ataenda kusema kwa nani (ukijua kaenda kuongea mfuate mweleze bila kupepesa macho na umwambie pamoja na hayo bado ni rafiki yako) its a better way to release those moments. I lost a friend bcoz of such bad moments, unaweza mtu ukachizika.
 
Ukute yeye wala hakuwazii.
Pole sana.Toka katembee tembee;ongea na marafiki
Mhmmhmhmhmhmhmhmhmhmhmh it's not true I think.. But how?? Since when??? Mhhhhhhhhhhhhhh
 
Kitu kingine nikutafuta kitu ambacho ungependa ufanikiwe nacho...mfano biashara, kulima au chochote anza kukitafutia namna ya kukifanya katika ubora wa hali ya juu. Steps zake I am sure hutapata muda wa kupoteza au kuwaza mambo negative. Kama ni namna ya kupata fedha ya kuinvest, dadavua njia zote ukatavyoweza kuipata. Otherwise, find a best friend talk to him/her about your problems. Usiogope atakuonaje au ataenda kusema kwa nani (ukijua kaenda kuongea mfuate mweleze bila kupepesa macho na umwambie pamoja na hayo bado ni rafiki yako) its a better way to release those moments. I lost a friend bcoz of such bad moments, unaweza mtu ukachizika.
Niseme tu akili nikama imestak hivi nikifikiria hiki inakuja picha yake nikifikiria Kile picha yake navitu vingine ambavo sivielewi elevi na havina afya kabisa
 
Hello friends,

If you are just t home, alone, stressed, hamu ya kula hamna, usingizi hauji, mkikaa na majirani stori haziendi unajikuta ilimradi upoupo tu uangalie muvi wapi, sikiliza muziki wapi, weka sauti kubwa wapi wewe ni kuwaza na kuwazua tu hupati majibu, pombe hunywi na upo bushi yani you see everything as hell. What else can you do in order to be okay and happy?

Hapo kazini masaa ya kazi yameisha kimagumashi tu you was so boring. Bora kazini walau ulikua bize sasa umerudi kwako and you feel some sorts of fucking shits yani kama kama mizimu si mizimu watu si watu midoli si midoli what are you going to do otherwise it is as if you are going die.

Utafanya nini?
Hiyo hali ilinitokea juzi kati nikatune tabibu TV nikaangalia muvi zao zile za kilong time zikanihelp kintindo
 
Back
Top Bottom