If only i could turn back time...


Bora na wewe useme meku.

Huyu anatufumba fumbo la imani haba
 
Kila Cku huwa najiuliza hivi inawezekanaje girlfriend mpya wa x wako akakuambia jinsi x wako anavyokuzungumzia ubaya au kasoro zako na ukamuamini hadi kugombana na x wako?!? kwanza unaanza nae vp kumuuliza au kumdodosa jamaa anasemaje kuhusu ww? km kuna kosa wanawake wengi tunafanya hili nalo limo! yaani unategemea akuambie jamaa anakuzungumzia vizuri? anyway,pole ila next time kaa chonjo na maneno km hayo! badala ya sasa kuendelea kufikiria jinsi gani umemuudhi nakushauri muda huo utumie kuboresha uhusiano wako wa sasa!
 
My dia naomba usijichanganye zaidi!!!!!!!!!achana nae huyo jamani

Mwenzio mapenzi yanamsulubisha. Chezeya kupenda wewe?

Kuna dada mmoja alinambiaga alishawahi kupenda then wakaachana akaolewa na njemba nyingine. Wakati wa mgegedo ili afike kileleni ni lazima avute taswira ya ex wake.

Naye wimbo wake ndo huu huu wa "if could turn back the time". Usifanye mchezo na mapenzi.

Afu unajua asilimia kubwa ya wanandoa ni wale ambao wameoa/kuolewa na wasiowapenda kwa dhati?

Ndio maana infidelity is inevitable
 
Nimekusamehe, usijali nilielewa ulikuwa na hasira ndio maana ukanisemea mbovu siku ile. Maisha ni kusameheana ndio maana hata Askofu Desmond Tutu aliwahi kuandika "No future without forgiviness". I also wish you all the bestie
 
Aiiii...nitaelewa hebu jaribu.

Hivi unajua hatari ya kumuomba msamaha mpenzi wa zamani wewe? Mlishawahi kugegedana kabla? sijui lakini..

Na kama ulisema maneno makali ya ukweli huoni yeye ndo alitakiwa kukutafuta akuombe msamaha kwa kukukwaza??!
Thante meku umenifumbua macho mimi ndo nlitakiwa niombwe msamaha,haya siji feel guilty tena aisee,ahsante jf imenisaidia kutambua ambayo cjawahi kuyawaza
 

Halafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli

kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time
 
Nimekusamehe, usijali nilielewa ulikuwa na hasira ndio maana ukanisemea mbovu siku ile. Maisha ni kusameheana ndio maana hata Askofu Desmond Tutu aliwahi kuandika "No future without forgiviness". I also wish you all the bestie
Thank youuu
 
Halafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli

kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time

Yani ye aliyedhalilishwa asiombwe msamaha, ye aliyebwatuka mitusi ndo aombe msamaha.

Hivi kudhalilishwa na kutukanwa ipi ngumu kumeza? Mi ntukane utakavyo ila ukinidhalilisha patakuwa hapatoshi.

Nakwambia huyu shosti wako ana lake jambo. Usifanye mchezo na penzi
 
Halafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli

kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time

Mfano mtu amekuudhi je una haki ya kumpa mtu maneno machafu?Muke ya muzungu vipi jaman mbona kunipa maneno mwenzio.
 
Eee kweli Aspirin ntakua na langu kwakweli..penzi ni noumer
 
Halafu anasema anataka kumuomba msamaha,hivi kweli

kumuomba ntu nsamaha yena aliyekutenda hadi unawish ku turn back the time
hakuna experience nzuri kama kutendwa kwenye mapenzi maana inahamasisha. Actually its a motivation
 
Mfano mtu amekuudhi je una haki ya kumpa mtu maneno machafu?Muke ya muzungu vipi jaman mbona kunipa maneno mwenzio.

Yeye alionesha sense ya kujutia alichokifanya hadi wewe uhangaike hivi

kumtafuta tena face to face kumuomba msamaha

HAYA MUKE YA MUZUNGU NGOJA NIKAE PEMBENI!!!!!!!!
 

Muombe Mungu akupe hekima za kujua unaongea nini na kwa muda gani. Hukuwa na hekima ulipokuwa unajibu tuhuma ambazao huna uhakika nazo. Mnachukuliaje neno "Tongoza". Ulijuaje huyo dada anadetiwa na huyo distance BF wako? Alianzaje kukwambia hayo maneno yote kama wewe hukumuuliza?

Think twise.
 
Eee kweli Aspirin ntakua na langu kwakweli..penzi ni noumer

Afadhali umekiri. Sasa skiza wangu. Forget about the past, songa mbele. Forgive and forget. Nami pia nimepitia humo ndo maana nikakushupalia. İ learnt my lesson and passed the exam.

Maisha yamesonga mbele, she is now my sister. Sometimes we can learn to love wale tusiowapenda naturally.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…