W wakaliwetu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2020 Posts 671 Reaction score 1,143 Aug 22, 2021 #2 Aksante sana🙏🙏
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 21,854 Reaction score 27,025 Aug 22, 2021 #3 Had never do anything! Kiingereza kimekaa kinyumbunyumbu Had never done siyo do. Siku nyingine andika kiswahili hutaonekana mshamba.
Had never do anything! Kiingereza kimekaa kinyumbunyumbu Had never done siyo do. Siku nyingine andika kiswahili hutaonekana mshamba.
U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,814 Reaction score 4,002 Aug 23, 2021 #4 Watanzania hamjui kingereza why
Sang'udi JF-Expert Member Joined May 16, 2016 Posts 9,374 Reaction score 22,992 Aug 23, 2021 #5 Kadhi Mkuu 1 said: Had never do anything! Kiingereza kimekaa kinyumbunyumbu Had never done siyo do. Siku nyingine andika kiswahili hutaonekana mshamba. Click to expand... Actually kuna kachumbari ya kutosha kwenye hizo sentensi. Ninafikiri ingependeza zaidi angesema: "Had Mbowe said or done nothing, or had he been (a) nobody; he would have never been called a terrorist." Lugha ngumu hii. 😁 Anyways, lengo la Lugha ni mawasiliano, nasi tumemwelewa.
Kadhi Mkuu 1 said: Had never do anything! Kiingereza kimekaa kinyumbunyumbu Had never done siyo do. Siku nyingine andika kiswahili hutaonekana mshamba. Click to expand... Actually kuna kachumbari ya kutosha kwenye hizo sentensi. Ninafikiri ingependeza zaidi angesema: "Had Mbowe said or done nothing, or had he been (a) nobody; he would have never been called a terrorist." Lugha ngumu hii. 😁 Anyways, lengo la Lugha ni mawasiliano, nasi tumemwelewa.