If I were a pilot......

If I were a pilot......

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Dah, ntawalaani ngugi WA thiong'o na chinua achebe siku zote. Saivi nisingekua nahangaika na ajira ya kipompi huku baraza LA sanaa
Screenshot_2018-09-18-10-52-47-1.jpg
 
Daah kweli kaka

Unaweza rusha hata vindege vidogo visogo navyo vina matotoz ya ukweli ... unaruka hata kwenda mbungani... unaweza jipa tumiaka twako tu tano.... uhandisi wa ndege ndio una mbwe mbwe nyingi sana ambao wenyewe sikuungi mkono
 
Back
Top Bottom