Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Wako pande zipi nami nikawatwalie wanangu.
Jengo la Quality Plaza, lakini nadhani pia wana maduka yao...
Wako pande zipi nami nikawatwalie wanangu.
NO, sitaweza kukiuza. Unaweza kwenda Mkuki na Nyota, utakipata...
Palikuwa na watoto kenda,
Walikwenda kuteka maji,
Mamba akamla mmoja
Wakabaki watoto nane.
Palikuwa na watoto nane,
Walikwnda kucheza ngoma,
mmoja akapotea huko
Wakabaki watoto saba.
Shule zamani ilikuwa bomba, hapo bendi ya shule iko hewani, halafu mwalimu anakagua meno ya wanafunzi !!!!
Ni Publisher maarufu wa vitabu, wapo katika jengo la Quality Plaza...
Jamaa hodari kisiwani,Mbwa Tom,Adili na nduguze,Hadithi za esopo,Alfu lela ulela,Oxford English for Ea [Juma Said,the lorry driver]Kitanda cha mauti,Siri ya sifuri,Kisima cha giningi,Duniani kuna watu...