Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,545
- 30,106
Juma na Roza
Hivi vitabu navitafuta mno baadhi nilibahatika kuvipata Mwenge
usimsahau Omary hodari kashinda safari.
Ukibahatika kukiona kitabu cha "safari saba za Sindbad baharia" nijulishe mkuu. Ni hazina kwa wanangu.
Mimi ninacho kitabu hiki, tena bado kipyaa. Vipo Mkuki na Nyota, mkuu...
Enzi ambayo hatukuwa na mafisadi nchini au maintarahamwe. Viongozi walikuwa viongozi wa kweli ambao waliweka maslahi ya nchi mbele badala ya matumbo yao na waliheshimiwa sana si kama hawa wa siku hizi mafisadi na hawajali kabisa maslahi ya nchi, issue yoyote yenye maslahi ya nchi wanajaribu kuikwepa kadri wawezavyo eti haiwahusu!!!!

Je unaweza kukiuza?
Siyo Omary, ni Makali. Kama sikosei wimbo wake uliimbwa hivi:
Makali hodari, kaenda safari,
Katika safari, kashinda hatari,
Mama yake Makali, kapata habari,
Kasema hodari, mwanangu Makali...
...Tunajua ya kwamba, atajigamba kumpiga kimamba...

Ni Publisher maarufu wa vitabu, wapo katika jengo la Quality Plaza...Mkuki na Nyota ni maeneo ya wapi? Tupe Location.
For Promotional Use Only.
Hapana wote mko sahihi wewe na Malila. Kwenye kitabu cha Someni kwa Furaha, alikuwa anaitwa Makali, ila kwenye kitabu cha Someni Bila Shida, alikuwa anaitwa Omari, with the same story!
Enzi ambayo hatukuwa na mafisadi nchini au maintarahamwe. Viongozi walikuwa viongozi wa kweli ambao waliweka maslahi ya nchi mbele badala ya matumbo yao na waliheshimiwa sana si kama hawa wa siku hizi mafisadi na hawajali kabisa maslahi ya nchi, issue yoyote yenye maslahi ya nchi wanajaribu kuikwepa kadri wawezavyo eti haiwahusu!!!!
Nenda kwa publisher "Mkuki na Nyota" wanavyo, nilivikuta pale...