Palikuwa na watoto kenda,
Walikwenda kuteka maji,
Mamba akamla mmoja
Wakabaki watoto nane.
Palikuwa na watoto nane,
Walikwnda kucheza ngoma,
mmoja akapotea huko
Wakabaki watoto saba.
Shule zamani ilikuwa bomba, hapo bendi ya shule iko hewani, halafu mwalimu anakagua meno ya wanafunzi !!!!
umenikumbusha wagagagigikoko!
Kibanga ampiga mkoloni, siku ya Gulio, Fikiri mimi maskini, Kisimkazi, hekaya za abunuwasi nk
Jamaa hodari kisiwani,Mbwa Tom,Adili na nduguze,Hadithi za esopo,Alfu lela ulela,Oxford English for Ea [Juma Said,the lorry driver]Kitanda cha mauti,Siri ya sifuri,Kisima cha giningi,Duniani kuna watu...
Hivi vitabu navitafuta mno baadhi nilibahatika kuvipata Mwenge
umenikumbusha wagagagigikoko!