If God didn't exist why miracles are still happening?

Hapa hujatumia akili au hujui kujenga hoja. Hata ambaye haamini kuna Mungu ataona hamna logic. Kwa hiyo kwa kuwa watu wanaamini kuna Mungu basi hata tahadhali wasichukue na akili walipewa?

mwishoni utasema kwa nini watu wanapovuka barabara wanaangalia kushoto na kulia ndo wanavuka.una kaubongo ka samaki dagaa 🤣
Miujiza haina power ya kuzuia hizo hatari?
 
Hapo hatuna shida
Kama haumini uwepo wa Mungu hiyo ndio imani yako
Wewe imani yako ni kwamba Mungu hayupo
Sio kwamba una uhakika Mungu hayupo ukiwa na uhakika uje na fact ila ukiamini sitohitaji fact
Hapa sasa ni kwamba mimi naamini Mungu yupo na wewe unaamini Mungu hayupo hapa hatuwezi kabisa kukwazana kabisa
Kitu ambacho hakipo ni hakipo mkuu
Jukumu la kuthibitisha uwepo wa kitu lipo kwa anayedai kitu kipo
 
Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
What is a miracle and how do you know that what you think is a miracle, is actually a miracle, not just something that you do not understand that is not a miracle?

Define a miracle in the abstract, and give examples.
 
That is your opinion
Narudia tena kuhusu Mungu hayupo au yupo ni imani na imani haina fact
 
Mungu kuwepo ni IMANI
Mungu kutokuwepo ni FACT...... not my opinion
 
Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Labda Setfree atakuja kutusaidia hiyo miujiza ni nini na ipi? Maana wewe umeshindwa kujibu hilo
 
Miujiza haina power ya kuzuia hizo hatari?
Una ubongo wa dagaa. Kama huwezi kufikiria vizuri hata maana ya muujiza ni nini. Kama ingekuwa hayo ndo maisha ya kila siku basi kusingekuwa na muujiza.
 
What is a miracle and how do you know that what you think is a miracle, is actually a miracle, not just something that you do not understand that is not a miracle?

Define a miracle in the abstract, and give examples.
Kuna mambo ambayo sayansi haiwezi kueleza mambo kibao tu ukitaka kuthibitisha nitafute
 
Kama inayodaiwa kuitwa miujiza haiwezi ku solve real problems how dare you claim there's miracle at all?

Na ndio maana tunasema miujiza haipo.

Unaweza kuthibitisha miujiza ipo?
 
Kuna mambo ambayo sayansi haiwezi kueleza mambo kibao tu ukitaka kuthibitisha nitafute
What is a miracle and how do you know that what you think is a miracle, is actually a miracle, not just something that you do not understand that is not a miracle?

Define a miracle in the abstract, and give examples.
 
Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Hili ni swali zito linalohusisha imani, sayansi, na mtazamo wa mtu binafsi kuhusu ulimwengu. Watu wenye imani wanahusisha miujiza na nguvu za Mungu, wakati wengine huona miujiza kama matukio yasiyoelezeka kwa sasa lakini yanaweza kuwa na maelezo ya kisayansi siku moja.

Je, miujiza ni ushahidi wa Mungu au ni matukio yasiyoeleweka tu? Wengine wanasema kuwa kuna mambo mengi duniani ambayo bado hatujaelewa, na kwa kila kizazi, kile kilichoonekana kama muujiza mwanzoni baadaye kilikuja kueleweka kisayansi. Mfano ni radi, magonjwa, au hata uponyaji wa ghafla—zamani yalihusishwa na miujiza, lakini sasa tunafahamu zaidi kuhusu jinsi yanavyotokea.

Kwa hiyo, hoja yako inasimama kama imani binafsi. Miujiza inaweza kuwa ushahidi wa nguvu ya Mungu kwa mtu wa imani, wakati kwa msomi wa sayansi, inaweza kuwa jambo la kuvutia linalohitaji uchunguzi zaidi. Wewe unaonaje?
 
Nyerere aliwahi kusema ni Bora uamini Kuna Mungu na usimkute kuliko kuamini hakuna Mungu alafu ukamkuta
 
Mungu kuwepo ni IMANI
Mungu kutokuwepo ni FACT...... not my opinion
Umejuaje hayupo ?
Unaposema fact maana yake umefanya utafiti na umejiridhisha wewe na watu wengine
Sasa utafiti hujafanya na unaiita fact

Ndio maana nakwambia hiyo ni opinion sio fact
Kama kuna utafiti umefanya niambie
 
Jibu ambalo ni standard ni kuwa

Mtu yeyote anatengeneza madai au assertion automatically anakuwa na mzigo wa kuthibitisha (burden of proof)

Burden of proof ipo kwa yule aliyekuja na madai ambayo yanapingana na default position.

Ipo hivi. Kama hakuna uthibitisho wa jambo lolote kuwepo basi default position hapo inakuwa "hakipo"

Sasa kama kuna mtu anakuja na madai kusema kuwa kitu hicho kipo then mzigo wa kuthibitisha unakuwa upo juu yake.

Kwa mfano hakuna uthibitisho wa kuonesha kuwa kwenye flyover ya Mfugale kuna Tembo mkubwa asiyeonekana.

Kwa hoja hii default position ni kwamba hakuna Tembo wa dizaini hiyo kwenye Flyover ya Mfugale na yeyote anayesema Tembo huyo yupo basi ni jukumu lake kuthibitisha huyo Tembo yupo.

The same kwa vitu ambavyo vipo.

Tunaweza kuona nyota, mwezi na jua angani na kutupatia uthibitisho wa default position kuwa vitu hivyo vipo.

Mtu akija na madai kusema kuwa hivyo vitu havipo lazima awe na jukumu la kuthibitisha kuonesha default position haikuwa sahihi.

Ishu inapokuja ni pale ambapo waumini mnapotaka kutushawishi kuwa Mungu ni kama mwezi kuwa mtu yeyote anaweza akathibitisha wakati kiuhalisia ni Tembo asiyeonekana kwenye Flyover ya Mfugale.
 
Hichi ulichoandika hapa ndio mtazamo wako kuhusu uwepo wa Mungu
Unataka nitumie njia gani nikuthibitishie uwepo wa Mungu
 
Context haijazungumzia mtazamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu.

Context ni burden of proof kwa madai yeyote yanayopingana na default position.
 
Kwa hiyo tukubaliane kuwa wale wote waliokufa baada ya kumgeukia Mungu kufuatia jitiihada zao kushindwa.

Ni wazi kuwa walikutana na matatizo ambayo hata Mungu pia yalimshinda?
Hakuna binadamu atakayeishi milele. Na Mungu huwa hajibu maombi yetu yote hata kama ana uwezo huo.
 
Hili ni swali zito linalohusisha imani, sayansi, na mtazamo wa mtu binafsi kuhusu ulimwengu. Watu wenye imani wanahusisha miujiza na nguvu za Mungu, wakati wengine huona miujiza kama matukio yasiyoelezeka kwa sasa lakini yanaweza kuwa na maelezo ya kisayansi siku moja.

Je, miujiza ni ushahidi wa Mungu au ni matukio yasiyoeleweka tu? Wengine wanasema kuwa kuna mambo mengi duniani ambayo bado hatujaelewa, na kwa kila kizazi, kile kilichoonekana kama muujiza mwanzoni baadaye kilikuja kueleweka kisayansi. Mfano ni radi, magonjwa, au hata uponyaji wa ghafla—zamani yalihusishwa na miujiza, lakini sasa tunafahamu zaidi kuhusu jinsi yanavyotokea.

Kwa hiyo, hoja yako inasimama kama imani binafsi. Miujiza inaweza kuwa ushahidi wa nguvu ya Mungu kwa mtu wa imani, wakati kwa msomi wa sayansi, inaweza kuwa jambo la kuvutia linalohitaji uchunguzi zaidi. Wewe unaonaje?
Mkuu Mtu kupona VVU nimuujiza huo, mlemavu kutembea ni muujiza na hiyohiyo sayansi Ina vitu inashidwa kuprove kama existence of witchcraft
 
Back
Top Bottom