MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Sasa kama hutaki kuamini Mungu yupo au hayupo unataka kujua niniSina shida na imani yoyote amini unavyo amini ili mimi sitaki kuamini Mungu yupo au hayupo , nataka kujua kama utanieleza habari zake .
Unaambiwa Yesu alipaa utaamini au utaprove vipi kama alipaa ?
Elia alimuomba Mungu akashusha moto kutoka mbinguni sasa wewe utaamini au utajua kama kweli ulishuka kutoka mbinguni
Usitafute kitu ambacho kitakufanya uwe unahangaika tu bila kupata majibu
Kimsingi kila mtu ana imani ndio maana wewe unaamini kwamba kesho utaamka na utaenda katika shughuli zako sio kwamba unajua
Ungekuwa unataka kujua ungejua siku yako ya kufa