If God didn't exist why miracles are still happening?

If God didn't exist why miracles are still happening?

Leo hii yesu na hao mnadai ni mitume wakafufuka wakakuta teknologia ilivyo kubwa kwa sasa watashangaa sana na kuona ni miujiza ya kutisha.
Ha haaa kwamba Yesu hajui nini kinaendelea hapa duniani kwa sasa? Itakuwa anashangaa huko aliko😃
 
Ha haaa kwamba Yesu hajui nini kinaendelea hapa duniani kwa sasa? Itakuwa anashangaa huko aliko😃
Akipata kanafasi kakufufuka akija atashangaa sana ina kuaje kuaje dege linapaa angani na abiria zaidi ya 200.
 
Unajua humu mnapenda kubishana ujinga sana
Swala la Mungu yupo au hayupo ni imani
Unaweza ukaamini Mungu yupo pia unaweza ukaamini Mungu hayupo
Hizo zote ni imani hakuna fact
 
Watu wakiombewa wanapona mfano Mtu Mwenye kichaa anapelekwa kwenye maombi na anapona kuna utabiri kutoka kwa manabii unafika kwa nabii fulani anakwambia kila kitu chako bila wewe kumwambia chochote those are miracles watu wanaomba wanapata walichokiomba those are miracles mtu aliyelogwa anakuwa salama.
Ulishawahi kushuhudia kichaa unayemfahamu ameombewa akapona?
 
Unajua humu mnapenda kubishana ujinga sana
Swala la Mungu yupo au hayupo ni imani
Unaweza ukaamini Mungu yupo pia unaweza ukaamini Mungu hayupo
Hizo zote ni imani hakuna fact
Toa fact zako
 
Unajua humu mnapenda kubishana ujinga sana
Swala la Mungu yupo au hayupo ni imani
Unaweza ukaamini Mungu yupo pia unaweza ukaamini Mungu hayupo
Hizo zote ni imani hakuna fact
Ndio ujinga uliopo jf kwenye masuala ya Imani.
 
Toa fact zako
Faith is believing
Fact inahitaji proof
Sasa sijui wewe unachoamini ni nini
Na kwa kawaida sina shida na imani ya mtu
It's ok kuamini chochote maana imani haulazimishwi
Sasa sijui wewe upo kwenye fact au believing
 
Miujiza ipo Ni halisi kabisa. Mwanadamu Ni mtu wa ajabu sana. Kwa mtu makini kabisa asingeweza kubisha uwepo wa Mungu pasipo kujaribu kuona Kama hili linalosemwa Ni kweli au la!
Mnashindwa na Eva Ni mwanamke lkn alithubutu kula tunda aone Kama tutakufa kweli au la! Na matokeo mnayaona lkn bado mmekaza fuvu.
 
Mfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?

Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?

Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?

Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Mungu anaendeleza pale tulipoishia. Kwahiyo kama ukiumwa fanya jitihada zako mwenyewe ili uponye ukiona jitihada zako hazijalipa hapo ndo muda wa kumgeukia Mungu na kumuomba.
 
Ndio ujinga uliopo jf kwenye masuala ya Imani.
Watu wanaoamini Mungu yupo kila siku wanahamasisha uwepo wa Mungu na kuhubiri injili yake ,wakiwata watu wafuate , sasa watu wanahoji uthibitisho wa uwepo wake ili wafuate kitu kilichopo kweli na sio kufuata kama vipofu tu, na kila dini ina Mungu wake na kila mtu anadai wakwake ni bora zaidi , lazima watu wapime na kupata hakika.
 
Mfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?

Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?

Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?

Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Hapa hujatumia akili au hujui kujenga hoja. Hata ambaye haamini kuna Mungu ataona hamna logic. Kwa hiyo kwa kuwa watu wanaamini kuna Mungu basi hata tahadhali wasichukue na akili walipewa?

mwishoni utasema kwa nini watu wanapovuka barabara wanaangalia kushoto na kulia ndo wanavuka.una kaubongo ka samaki dagaa 🤣
 
Back
Top Bottom