If God didn't exist why miracles are still happening?

Usiite usaidizi huyo kashawahi kunikimbia na kaniblock
Inaonekana wewe mgeni humu
Kwani biblia inasomwaje au unaigeuza juu chini
Biblia inasema Yesu alipaa
Ukisoma unavyotaka utasema Yesu hakupaa ila alipanda juu ya mawingu
Ila we jamaa mkorofi sana 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 haya tuseme alipanda juu ya mawingu...
Haya alipandaje
 
Sio hadithi mkuu huo Ni uhalisia. Unapojaribu kupinga maana yake unataka kutuaminisha usemayo wewe ndio kweli. Hebu onyesha huo ukweli wenyewe kwa hoja nzito kuliko zile za adamu na Hawa. Nasi tukuamini.
Ukisema huo ni UHALISIA itakua sio kweli mkuu
Hivi kuna uhalisia gani kwa Mungu ili ku deal na wenye dhambi enzi za Nuhu eti ilibidi au viumbe vyote duniani kwa kuijaza dunia maji?
Kwanini aue vitoto. vichanga visivyo na hatia? Kwanini au wanyama wooote?

Na kwa akili zako timamu kabisa unaamini kwa vipimo vile vya safina ya Nuhu safina ile inauwezo wa kubeba aina zote za viumbe dunia hii kiume na kike
Na unawezaje kuwa manage hao viumbe humo ndani?

Huu sio UHALISIA mkuu kabda ujifariji ni MIUJIZA ambayo kimsingi haipo
 
Mambo ya kiroho yanapowekwa kwa jinsi ya mwili yanakuwa Kama hayawezekani hivi na Ni rahisi kubisha mkuu mfano ukiambiwa mbinguni Kuna wazee ishirini na nne Basi utaanza kuvuta picha nyingine kabisa.

alafu hapa duniani wewe Ni mgeni umekuja juzijuzi tu umewakuta wenyeji wanakueleza mambo yalivyo unakuwa mbishi.

Sisi wakristo bahati nzuri Imani yetu ipo wazi kabisa kabisa kwamba mtu anayeifuata lazima atathibitisha uwepo wa Mungu Kama maandiko yanavyosema. Sio Kama dini nyingine unaanza kuabudu Hadi unakufa pasipo kuona chochote na bado umeganda tu😀😀.

ninyi mmeshajenga akilini kuwa dini Ni uongo so hata muambiwe kwenye safina waliingia wanyama kwa jozi ndo kwanza mtatafsiri kwa namna ya kuuliza safina linaukubwa gani? Oooh! Sijui hayo maji yakuwaangamiza wote inamaana yalijaza dunia yote? Sasa unapofikia hatua hiyo yakuhoji kwa Nini usichukue hatua yakufata ili uone matendo makuu kwa ulimwengu wa kileo wa kwako?
 
🙏🙏 Amina mtumishi tuishie hapa

Naona umeanza nadharia za ROHONI sasa
 
Mkuu Mtu kupona VVU nimuujiza huo, mlemavu kutembea ni muujiza na hiyohiyo sayansi Ina vitu inashidwa kuprove kama existence of witchcraft
Hakika, kuna mambo ambayo sayansi bado haijaweza kuyaelezea kikamilifu, na hapa ndipo mjadala unakuwa mgumu zaidi. Kwa mfano, kuna kesi za watu waliokuwa na VVU na baadaye wakagundulika hawana tena—madaktari wengine huona hii kama kitu nadra lakini kinawezekana, wakati wengine huita "spontaneous remission" au athari za tiba fulani. Kwa waumini, hii ni miujiza.

Kuhusu mlemavu kutembea ghafla, kuna matukio yaliyorekodiwa ambapo watu waliodhaniwa hawawezi kutembea tena waliweza kusimama na kutembea—wengine wanasema ni nguvu za Mungu, wengine wanaelezea kwa nguvu ya akili na mwili kujiponya.

Kuhusu ushirikina na uchawi, hili ni eneo ambalo sayansi haijathibitisha moja kwa moja, lakini pia haijakanusha kabisa kwa sababu kuna mambo ambayo bado hayajaweza kuelezwa kwa njia ya kisayansi. Wengi wanadai kuwa nguvu za giza zipo, na wengine wanaziona kama imani za kitamaduni.

Mwisho wa siku, inategemea unavyochukulia dunia—kama unaiangalia kwa jicho la kiroho au la kisayansi. Unaonaje, unadhani kuna nafasi ya miujiza au kila kitu kinaweza kuelezwa kisayansi?​
 
Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
andika kiswahili ili wote tuelewe. sijaelewa
 
some
Hakika, kuna mambo ambayo sayansi bado haijaweza kuyaelezea kikamilifu, na hapa ndipo mjadala unakuwa mgumu zaidi. Kwa mfano, kuna kesi za watu waliokuwa na VVU na baadaye wakagundulika hawana tena—madaktari wengine huona hii kama kitu nadra lakini kinawezekana, wakati wengine huita "spontaneous remission" au athari za tiba fulani. Kwa waumini, hii ni miujiza.

Kuhusu mlemavu kutembea ghafla, kuna matukio yaliyorekodiwa ambapo watu waliodhaniwa hawawezi kutembea tena waliweza kusimama na kutembea—wengine wanasema ni nguvu za Mungu, wengine wanaelezea kwa nguvu ya akili na mwili kujiponya.

Kuhusu ushirikina na uchawi, hili ni eneo ambalo sayansi haijathibitisha moja kwa moja, lakini pia haijakanusha kabisa kwa sababu kuna mambo ambayo bado hayajaweza kuelezwa kwa njia ya kisayansi. Wengi wanadai kuwa nguvu za giza zipo, na wengine wanaziona kama imani za kitamaduni.

Mwisho wa siku, inategemea unavyochukulia dunia—kama unaiangalia kwa jicho la kiroho au la kisayansi. Unaonaje, unadhani kuna nafasi ya miujiza au kila kitu kinaweza kuelezwa kisayansi?​
Kuna muda mwingine miujiza inakuwepo
 
Mkuu tatizo watu tunadhania SAYANSI ni lidubwana moja la ajabu sana....... sayansi ni logic tu

Kwenye Imani za Supernatural kama Mungu Majini Uchawi nk ni kwamba KILA KITU KINAWEZEKANA....... Yaani jiwe linaweza kugeuka mkate, mtu akageuzwa nyoka au fisi

Ukisoma Bibilia utakutana na miujiza mingi sana ambayo logically HAIWEZEKANI abadani
Ukisikiliza simulizi za Kichawi ni vitu ambavyo HAVIWEZEKANI kutokea

Wanao dai kuna miujiza sasa huwa wanaleta ngonjera tu, unaposema kuna watu wanapokea miujiza na kuponywa ukimwi mbona hii ni simple sana kuthibitisha kisayansi?
Sayansi inaposema Mseto inatibu malaria maana yake ni ukiwapa dawa mseto wagonjwa wa malaria dawa mseto zaidi ya 99% watapona
Chukua wagonjwa wa ukimwi waombewe kisha tuwapime tena tupate majibu...... That’s how science works

Sayansi ikisema kutoka Dar to Dom kwa SGR ni masaa 3 ni simple sana kuthibitisha hata hauendi maabara
Kama kuna mtu anadai unaweza kwenda marekani na ungo na ukarudi ndani ya lisaa... we nenda uwezavyo kapige selfie na Roma mkatoliko kisha rudi bongo tukuone..... hapa scientifically itakua proved kuwa kweli inawezekana na sio ngonjera

Sayansi ina shughulika na vitu vilivyopo, Yes kuna vitu vipo lakini sayansi bado haina majibu...... lakini katika vitu hivyo supernatural powers hazipo

Siku watu wenye waliothibitishwa wana ukimwi wakiombewa wakapona kama dawa mseto inavyoponya malaria hapo ndio wanasayansi wataamini INAWEZEKANA na wataanza kuhangaika kujua HOW its happened
 
Mungu yupo ila kwenye miracles ukumbuke huyo huyo mungu kasema yeye yupo na shetani yupo hapa ndipo ulipo upumbavu wa waamini mungu karibu wote ....wao wanakubali kuwa mungu yupo ila akili zao zinakanusha uwepo wa shetani (kituko)....maana kama awakanushi uwepo wa shetani mbona wanafuata miujiza kuwa ni kielelezo cha mtakatifu je Muhammad akutenda miujiza yoyote je shetani yupo kwa sababu na kwa shauri gani ?je huyo mungu kamtaja sana shetani kwa wanadamu wamjue kama wanavyo mjua yeye kwa sababu gani ....

Shetani ni kama Baraza la Mitihani .
Usiozingatia unafeli na hakuna msaada .
 
Mkuu tatizo watu tunadhania SAYANSI ni lidubwana moja la ajabu sana....... sayansi ni logic tu

Kwenye Imani za Supernatural kama Mungu Majini Uchawi nk ni kwamba KILA KITU KINAWEZEKANA....... Yaani jiwe linaweza kugeuka mkate, mtu akageuzwa nyoka au fisi

Ukisoma Bibilia utakutana na miujiza mingi sana ambayo logically HAIWEZEKANI abadani
Ukisikiliza simulizi za Kichawi ni vitu ambavyo HAVIWEZEKANI kutokea

Wanao dai kuna miujiza sasa huwa wanaleta ngonjera tu, unaposema kuna watu wanapokea miujiza na kuponywa ukimwi mbona hii ni simple sana kuthibitisha kisayansi?
Sayansi inaposema Mseto inatibu malaria maana yake ni ukiwapa dawa mseto wagonjwa wa malaria dawa mseto zaidi ya 99% watapona
Chukua wagonjwa wa ukimwi waombewe kisha tuwapime tena tupate majibu...... That’s how science works

Sayansi ikisema kutoka Dar to Dom kwa SGR ni masaa 3 ni simple sana kuthibitisha hata hauendi maabara
Kama kuna mtu anadai unaweza kwenda marekani na ungo na ukarudi ndani ya lisaa... we nenda uwezavyo kapige selfie na Roma mkatoliko kisha rudi bongo tukuone..... hapa scientifically itakua proved kuwa kweli inawezekana na sio ngonjera

Sayansi ina shughulika na vitu vilivyopo, Yes kuna vitu vipo lakini sayansi bado haina majibu...... lakini katika vitu hivyo supernatural powers hazipo

Siku watu wenye waliothibitishwa wana ukimwi wakiombewa wakapona kama dawa mseto inavyoponya malaria hapo ndio wanasayansi wataamini INAWEZEKANA na wataanza kuhangaika kujua HOW its happened
Umegonga pointi sana! Sayansi ni logic na ushahidi, siyo mambo ya kuhisi au kuhisi tu kitu kipo bila uthibitisho.

Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi wanadhani kuwa kusema "sayansi haijathibitisha" ni sawa na kusema kitu hicho hakipo. Lakini ukweli ni kwamba sayansi inahitaji ushahidi wa wazi na unaoweza kurudiwa (repeatable evidence). Kama muujiza unaweza kuthibitishwa kwa njia hiyohiyo tunavyothibitisha dawa inavyofanya kazi, basi itakubalika kisayansi.

Kwa mfano, kama kuna mtu anasema ameponywa UKIMWI kwa maombi, basi tunahitaji:
  1. Rekodi zake za awali zinazoonyesha alikuwa na UKIMWI.
  2. Vipimo baada ya maombi vinavyoonyesha hana tena UKIMWI.
  3. Uthibitisho kuwa hakuna dawa yoyote aliyotumia ambayo inaweza kuelezea kupona kwake.
  4. Tukio hili lijirudie mara nyingi kwa watu tofauti na kwenye mazingira tofauti.
Mpaka sasa, hakuna ushahidi wa kisayansi unaoweza kuthibitisha miujiza kwa namna hiyo. Kunaweza kuwa na hadithi za kusisimua, lakini bila data, hizo ni ngonjera kama ulivyosema.

Kwa upande wa ushirikina na uchawi, wapo wanaosema "kuna mambo ambayo hayana maelezo"—lakini hilo halimaanishi kuwa ni supernatural. Inaweza kuwa ni mambo ambayo bado hatujaelewa kisayansi, kama ambavyo zamani watu walidhani radi ni hasira za miungu kabla ya kuelewa kuhusu umeme wa anga.

Siku watu wakianza kusafiri na ungo na tukawa na video sahihi (siyo deepfake 😂), basi hapo sayansi italazimika kuchunguza na kutoa majibu. Mpaka hapo, bado ni stori tu.

Wewe unaonaje, kuna jambo lolote la "supernatural" ambalo umeona linaweza kweli kuthibitishwa kisayansi?
 
Hongera lakn umetuandikia na AI pia ulichokisema hakina kwani sayansi inakubali uwepo wa magic(uchawi)
 
Back
Top Bottom