AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,898
- 5,657
Kwanini dini ni utapeli?Lakini, dini ni utapeli mtupu
Kwanini dini ni utapeli?Lakini, dini ni utapeli mtupu
Ukiendekeza dini mkuu there's nothing you'll do dini Inaturestrict sana kwenye mambo mengi kumwanzia kuthink and much more pia dini hii imetengeneza utofauti kati ya watu mfano ukristo na uislam kama lengo letu ni njia za kumfikia mwenyezi Mungu why having multiple ways instead of single wayKwanini dini ni utapeli?
Siwezi kushiriki mdahahalo pia ni mtazamo wakoSipo katika mdahalo wa kujadili mitazamo binafsi. Kama nimeeleweka hivyo basi ni wazi kuwa umenielewa vibaya.
Huu ni mjadala, na mjadala unakuwa na sheria zake.
Nachofanya mimi ni kukukumbusha kanuni za mjadala ili uweze kujenga hoja katika misingi sahihi inayokubalika.
Kama tutaweza kupuuza hizo kanuni kwa hoja irrational "mtazamo wako" basi ni fact kwamba hutoshi kushiriki mijadala kama hii licha tu ya kupima wepesi wa hoja zako ulizo wasilisha.
Kwa hiyo matatizo yote ambayo wataalamu hawakuweza kuyatatua kwa maelfu ya miaka, wameweza kuya solve hivi karibuni, yalikuwa miujiza kwa miaka yote hiyo ambayo hayakuweza kuwa solved?Ni muujiza kwasababu isingekuwa ni muujiza wataalamu wa afya na wengine wangeweza kusolve muda mrefu sana haya matatizo lakn kwann kwa Imani yanakuwa solved means that through miracles Kuna matatizo Supernatural power inasolve
Uthibitisho wa kitu ambacho hakipo ni kutokuwepo kwake.... hii ni FACTUmejuaje hayupo ?
Unaposema fact maana yake umefanya utafiti na umejiridhisha wewe na watu wengine
Sasa utafiti hujafanya na unaiita fact
Ndio maana nakwambia hiyo ni opinion sio fact
Kama kuna utafiti umefanya niambie
Umewafuatilia miaka yote ukajua hawakuweza kutembea?Kwann wasingekuja apo awali wanatembea mbona wameweza kutembea baada ya Supernatural power kuwork
Sasa tangu mwanzo nasema Mungu yupo au hayupo ni imani sasa ww ndio unasema sasa hvUthibitisho wa kitu ambacho hakipo ni kutokuwepo kwake.... hii ni FACT
Mkuu tuishi na hii.... haya mambo ya supernatural ni IMANI na sio FACT
Mungu kuwepo ni IMANISasa tangu mwanzo nasema Mungu yupo au hayupo ni imani sasa ww ndio unasema sasa hv
Hivi mnasomaga au mnaandika tu
Huo ni mtazamo wako kiongoziMungu kuwepo ni IMANI
Mungu kutokuwepo ni FACT
Tuishi na uwepo wa Mungu ni wa kiimani
Mkuu unakubali kwamba uwepo wa Mungu ni kiimani?Huo ni mtazamo wako kiongozi
I see no miracles but oracles and abracadabra everywhere. The miracle I know is when conmen and conwomen dupe fools that they can perform miracle.Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Ndugu yangu umeandika pumba na mashuduI see no miracles but oracles and abracadabra everywhere. The miracle I know is when conmen and conwomen dupe fools that they can perform miracle.
Heri pumba na mashudu kuliko mashonde uliyoandika wewe.Ndugu yangu umeandika pumba na mashudu
Ndio nachosema hapa tangu asubuMkuu unakubali kwamba uwepo wa Mungu ni kiimani?
Na unakubaliana kwamba IMANI sio FACT? Haina uthibitisho?Ndio nachosema hapa tangu asubu
We jamaa hebu kwanza soma nilipoanza kwenye hii madaNa unakubaliana kwamba IMANI sio FACT? Haina uthibitisho?
Sio hadithi mkuu huo Ni uhalisia. Unapojaribu kupinga maana yake unataka kutuaminisha usemayo wewe ndio kweli. Hebu onyesha huo ukweli wenyewe kwa hoja nzito kuliko zile za adamu na Hawa. Nasi tukuamini.Shida inaanzia hapo kwenye hayo mnaita “maneno ya mungu”
“mungu” hajawahi kuandika kitabu chochote wala hajamtuma mtu kumuandikia kitabu
Hivi mkuu wewe na akili zako timamu kabisa unaamini Hadithi za Adam na Eva na nyoka anayeongea?
Nakufatilia sana demi..Nawaona kwenye Tv ambao siwajui. Ninao wajua mimi ambao ni wagonjwa wanahangaika kwenye maombi na hawajawahi kupona
dunia tu kuwepo si ni miracle tayarMiracle gani hizo ?