Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,520
- 94,681
Ni wewe tu umepata hiyo bahatiNdio sana tu
Ni wewe tu umepata hiyo bahatiNdio sana tu
Ni kweli mkuuMiujiza ipo Ni halisi kabisa. Mwanadamu Ni mtu wa ajabu sana. Kwa mtu makini kabisa asingeweza kubisha uwepo wa Mungu pasipo kujaribu kuona Kama hili linalosemwa Ni kweli au la!
Mnashindwa na Eva Ni mwanamke lkn alithubutu kula tunda aone Kama tutakufa kweli au la! Na matokeo mnayaona lkn bado mmekaza fuvu.
Watu wa imani wanadai uwepo wa Mungu ni fact sasa watu wanadai hizo fact sasa .Faith is believing
Fact inahitaji proof
Sasa sijui wewe unachoamini ni nini
Na kwa kawaida sina shida na imani ya mtu
It's ok kuamini chochote maana imani haulazimishwi
Sasa sijui wewe upo kwenye fact au believing
Inamaana wewe hujawahi kushuhudia?Ni wewe tu umepata hiyo bahati
Wewe unaamini Mungu hayupo au unajua Mungu hayupoWatu wa imani wanadai uwepo wa Mungu ni fact sasa watu wanadai hizo fact sasa .
Soma btn the line kwa nilichokiandika boss , halafu uliza tena.Wewe unaamini Mungu hayupo au unajua Mungu hayupo
Nawaona kwenye Tv ambao siwajui. Ninao wajua mimi ambao ni wagonjwa wanahangaika kwenye maombi na hawajawahi kuponaInamaana wewe hujawahi kushuhudia?
Achana na hao watu mimi nataka nijue msimamo wako upo kwenye imani au factSoma btn the line kwa nilichokiandika boss , halafu uliza tena.
Please give us examples of those miracles so that we may be able to contribute further to your observations.Japo tukubaliane kwamba religion ni "biggest scam" na inatulimit sana kwenye mambo mengi lakini supernatural power (God) exist. If he didn't exist where are this miracles we see coming from!
Msimamo wangu ni kuwa ukinisisitizia habari za imani yako nitataka factAchana na hao watu mimi nataka nijue msimamo wako upo kwenye imani au fact
Maana mtakuwa mnatukanana tu humu ndani
Mimi nimekwambia dini ni imaniMsimamo wangu ni kuwa ukinisisitizia habari za imani yako nitataka fact
Ukisema imani yako ina fact nitataka fact ukiacha kama imani hapo hakuna mhadala , tatizo wewe hauelewi ninachosema ,unamaaelezo yako kichwani bila kuona mtazamo wangu ni upi.Mimi nimekwambia dini ni imani
Wewe unasema unataka fact
Fact za nini na nishakwambia dini ni imani
Wewe unataka tu kujionesha unaweza kubishana ila huwezi kubishana ndio maana hutaki kutoa msimamo wako kuhusu
"Unaamini Mungu hayupo au unajua Mungu hayupo"
Ukiweza kujibu hapa nitajua upo kwa ajili ya kutaka kufahamu ila kama unataka ligi hapa sio mahali pake
Hata hivyo hautashinda
Labda swali ni gumu nikurahisihie unaamini nini kuhusu Mungu au unajua nini kuhusu Mungu ?Ukisema imani yako ina fact nitataka fact ukiacha kama imani hapo hakuna mhadala , tatizo wewe hauelewi ninachosema ,unamaaelezo yako kichwani bila kuona mtazamo wangu ni upi.
Kama imani ya Mungu haina fact basi hata mimi sina haja ya kuamini uwepo wa Mungu , sijui unanielewa? Au labda nitumie njia ipi rahisi ili unielewe?Labda swali ni gumu nikurahisihie unaamini nini kuhusu Mungu au unajua nini kuhusu Mungu ?
Imani haina fact naweza kuamini chochote
Kama hapa naamini wewe ni Mwanamke maana wanawake hawaelewi
Ila unaweza ukaniprove wrong kwamba wewe sio mwanamke
Hapo ndio inakuja fact sijui unaelewa au niendelee kuamini nachoamini kuhusu wewe
Hapo hatuna shidaKama imani ya Mungu haina fact basi hata mimi sina haja ya kuamini uwepo wa Mungu , sijui unanielewa? Au labda nitumie njia ipi rahisi ili unielewe?
Sitaki kuamini hayupo nataka uthibitisho kuwa yupo kwa wanadai ni hakika yupo.Hapo hatuna shida
Kama haumini uwepo wa Mungu hiyo ndio imani yako
Wewe imani yako ni kwamba Mungu hayupo
Sio kwamba una uhakika Mungu hayupo ukiwa na uhakika uje na fact ila ukiamini sitohitaji fact
Hapa sasa ni kwamba mimi naamini Mungu yupo na wewe unaamini Mungu hayupo hapa hatuwezi kabisa kukwazana kabisa
Bangi yako kaliMfano mmoja wa uthibitisho wa huo muujiza ni upi?
Unaelezeaje zile fire extinguisher ambazo zipo kwenye makanisa na misikiti? Zipo kwa ajili ya kufanya nini kama miujiza ipo?
Unaelezeaje ambulance ambazo zinapaki Makanisani na misikitini, huwa zinatafuta nini maeneo hayo kama kweli miujiza ipo?
Unaelezeaje situation ya Pop kuumwa na kufanyiwa matibabu ya kisayansi ikiwa kama kweli miujiza ipo?
Unataka uthibitisho gani ?Sitaki kuamini hayupo nataka uthibitisho kuwa yupo kwa wanadai ni hakika yupo.
Sina shida na imani yoyote amini unavyo amini ili mimi sitaki kuamini Mungu yupo au hayupo , nataka kujua kama utanieleza habari zake .Unataka uthibitisho gani ?
Unataka kuamini au unataka kujua
Maana kwenye dini tunachofundishwa ni imani tu ndio maana tunaomba halafu tunasema Amen kwamba tunaamini yatatokea sio kwamba tunajua yatatokea
Sio mambo ya kujua hayahusiani na Mungu