FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
Hapa ndo naonaga sisi watz ni wapumbavu kwahiyo mtu akiongea english mnamuona kichwa shame on u'ndo maana tutabaki maskini hadi tunakufa'jiulize wachina wanatumia lugha gani?
Hata kwa mawaziri wetu wengine wangebaki kuwa kimya kama mabubu bila ya kujibu hoja za wabunge
English si kigezo cha hekima. Hayo ni mawazo yasiyojenga. Mbona hamtaji wabunge wa vyama vingine walioishia middle school kama makamu mwenyekiti wa chama fulani
1. Parliamentary session will be for minority citizens for the fact that most of our people do not speaks English.
2. There will be contradictions between the members of the parliaments themselves, since many of them were seems idiot (such as Livingstone, Ngonyani, Airo etc just to mention few).
Can anybody come up with an imaginary presentation or a simple question being asked by Prof TALL WATERS pleeease?
enyi watanzani msiokuwa na akili ni nani aliyewaroga ya kwamba kujua kiinngigereza ndiyo kuwa na hekima busara na elimu ya hali ya juu? kiingereza ni lugha tu kama ilivyo kiswahili na si kila anaejua kiingereza basi ndiyo mweye elimu ya kutosha! mfano mzuri hapahapa jf kuna mtu mmoja huwa anaandika kiingereza kizuri sana lakini anachochangia mara nyingi huwa pumba tupu!
Wana JF, think of a situation ikatungwa sheria kuwa mijadala ya bunge iendeshwe kwa kiingereza, kitatokea nini bungeni????? Nauliza jamani
English si kigezo cha hekima. Hayo ni mawazo yasiyojenga. Mbona hamtaji wabunge wa vyama vingine walioishia middle school kama makamu mwenyekiti wa chama fulani
Hapa ndo naonaga sisi watz ni wapumbavu kwahiyo mtu akiongea english mnamuona kichwa shame on u'ndo maana tutabaki maskini hadi tunakufa'jiulize wachina wanatumia lugha gani?
Wangeruhusiwa kuandika halafu wasome. Hapo wengi wangeajiri watu wa kuwaandikia. Teh teh teh!!!