IELTS Tests kwa hapa nyumbani Tanzania any help/ speaking parter

AfroMonster

Member
Jun 7, 2018
67
75
Hello members, nataka kufanya mtihani wa Kiingereza IELTS kabla mwaka huu, naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu na hii mitihani.

Vilevile nitafurahi nikipata members ambao wamewahi fanya hii mitihani maana sielewi ndani ya chumba cha mtihani hasa hasa listening test inafanyikaje.

Regards
#JF #Hakuna #kisichowezekana
images.jpeg
 
Search videos youtube za IELTS, zinaweza kuwa msaada. Kila la heri
 
Tumia video za youtube ufanye mazoezi kila siku,
Kwenye chumba cha mtihani huwa wanaanza na listening part..mnapewa headphones yale makubwa alafu wanaplay hyo audio then unajbu maswali kutokana na ulichokisikia..ila maswali yanakua kwenye booklet kama kawaida..
 
kuna baadhi ya vyuo kama ulisoma hapo wanakupa certificate ya hiyo.kitu
 
Back
Top Bottom