Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Muongo huyo.. ana nyumba za kupangisha kigamboni..

Ana nyumba buza kanisani..

Anaongea kutafuta kiki.. ili aonekane mpuuzi..

Uliza ma super star wenzake..wanakwambia hakuna mtu mbahili kama huyo idrisa..

Ndugu yangu alishapanga nyumba ya idrisa buza kanisani

Upate milioni 600 kwa mtu aliekulia familia ya biashara kama idrissa iyeyuke tu.. hata kwao wangemtenga
 
Huyo alifanya kitu kinaitwa risk taking na kwamba ukitaka mafanikio ni lazima ujaribu.

Na cha msingi kwenye kujaribu kuna kufeli pia. Tena kufeli kunaweza kusiwe mara moja.

Na kwamba maisha hatuhesabu umeanguka mara ngapi bali umeinuka mara ngapi ndilo la msingi.

Kukata tamaa ni dhambi pia na vilevile haisaidii ukikata tamaa.

Hapa kuna wengi wataponda sana alichokifanya Sultan ndiyo reality japo kweli alipata hasara kubwa ila kajifunza na akainuka tena
 
Back
Top Bottom