Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Muongo huyo.. ana nyumba za kupangisha kigamboni..

Ana nyumba buza kanisani..


Anaongea kutafuta kiki.. ili aonekane mpuuzi..

Uliza ma super star wenzake..wanakwambia hakuna mtu mbahili kama huyo idrisa..

Ndugu yangu alishapanga nyumba ya idrisa buza kanisani

Upate milioni 600 kwa mtu aliekulia familia ya biashara kama idrissa iyeyuke tu.. hata kwao wangemtenga

Watanzania tuna matatizo kichwani. Sasa uongo wote huo anaongea ili nini kwenye chombo cha habari? Kwa faida gani? Watu maarufu bongo bure kabisa. Hakuna hata wa kumwamini.
 
Back
Top Bottom