IDM yangu haidownload kwenye youtube

IDM yangu haidownload kwenye youtube

Ur right mkuu idm na mozilla mpya haziendani na antvirus mpya pia zinaidaka idm kama software ambayo sio trusted (mpaka uieke manual kama trusted).

Solution ni kudonwload idm mpya (najua unapata notification ya ku update ila unaogopa maana umecrack hio idm) so download mpya na crack mpya au tumia google chrome haina neno na idm za zamani
Athante thana chief-mkwawa kumbe umeona enhee?? mie nilisota nayo sana na nimefanya kila njia ikawa taabu. Hizi idm nazo shida tu maana za sasa hizi pamoja na kuzi crack bado zinakamatwa kirahisi kwa hiyo nang'ang'ania za zamani zina ufadhali kidogo. Mie nilipata akili nyingine ya kudownload utube kupitia keepVid.com na nimefurahia huduma hii.
Nilijaribu kuangalia na kwenye kaspersky yangu kama idm iko kati ya program zilizo kati ya list ya untrusted lakini haikuwemo ndipo niligundua ni browser.
Naogopa kuwa na browsers nyingi maana mozilla naipenda.
Asante kwa kunipa ushauri.
 
Back
Top Bottom