Idm-serial number.

Idm-serial number.

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Nimekuwa nikitumia IDM ku-download sasa muda wa siku 30 umeniishia nami ninahitaji sana kuitumia.Naomba yeyeto mwenye SERIAL NUMBER anisaidie
 
Nimekuwa nikitumia IDM ku-download sasa muda wa siku 30 umeniishia nami ninahitaji sana kuitumia.Naomba yeyeto mwenye SERIAL NUMBER anisaidie
MKUU MBONA WEWE MKONGWE HUMU!!!
INAMAANA MIAKA YOTE YAKUKAA HUMU JAMVINI BADO HUJAJUA TU KUSEARCH KAMANDA?

kUNA KIJANA KAPA KIA HUMU KITAMBO NA INAPIGA MZIGO BILA YA SHIDA SO WEWE DOWNLOAD HIYO PATCH TU UTUMIE KWA IDM YAKO ILIYOFIKA UKINGONI.

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...420410-full-idm-6-15-biuld-5-hapa-chukua.html
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli nina miaka mingi humu lakini sikuwa mpenzi wa IDM lakini sasa nimekuwa mpenzi sana sana kwenye filamu YOUTUBE Nimekuwa nikifurahia sana ku-Download picha,Nashukuru sana nimeichukua na IMEKUBALI vizuri sana sana,Nashukuru kwa yote.
 
https://www.jamiiforums.com/jf-stor...nager-idm-6-17-full-mtotosix.html#post6833790

Futa Hyo Uliyonayo Then Ktachufuata ni
kupitia Hyo Link ... Kama isipo funguka jaribu ku download Hapa Download

Hii Ndo Latest aliiweka Mkuu C6 ... Na Ni Latest... Hyo yakwanza imeanza kuleta matatizo Youtube kwa baadhi ya Chanels hasa ile Ya VeVo

Youtube wana new and currently unsupported streaming protocal/ format kwa VeVo videos, so that they can only be played online and not downloaded! It has to do with protecting artists works and stuff
 
Last edited by a moderator:
Youtube wana new and currently unsupported streaming protocal/ format kwa VeVo videos, so that they can only be played online and not downloaded! It has to do with protecting artists works and stuff

idm 6.1.7 inashusha hata vevo videos
 
we nae kunitia aibu khaaa, ntakushusha busha sasa hivi hahahaaa, mbona jamaa unatoweka sana? niko doro kule mahala...

Ha ha haa!!! Mbona nipo kijana. Huwa nakuona mara moja moja. Ngoja mida ntakucheki.
 
Mimi nimeinstal hiyo prog but inadai sereal na. Nafanyaje wazee..
.
 
Mimi nimeinstal hiyo prog but inadai sereal na. Nafanyaje wazee..
.
Itoe hiyo uliyonayo (uninstall)
Kisha download hii hapa chini
Internet-Download-Manager.jpg

Download Hapa

What's new in version 6.17?

(Released: Jun 27, 2013)

>Added support for new types of video streaming sites
>Added support for Firefox 24 and SeaMonkey 2.19
>Added a workaround for youtube changes

NB: hii imenifaa sana baada ya idm ya zamani kuwa inazingua kushusha video za youtube, nikaona tushee haka kadude useful

https://www.jamiiforums.com/jf-stor...-download-manager-idm-6-17-full-mtotosix.html
 
Back
Top Bottom