KUBOTA Power tiller ni mkombozi

KUBOTA Power tiller ni mkombozi

Bunguabongo

Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
30
Reaction score
27
Nimekuwa nikitumia power tiller kwa muda wa miaka miwili sasa. Nimeona mafanikio makubwa sana kwa sisi vijana na hasa tunaopenda kilimo cha mpunga. Hata hivyo, nimeamua kuiuza baada ya kukosa msimamizi kwa kuwa mimi ni mwajiriwa. Kama kuna mtu anahitaji nipo tayari kumuuzia. Nicheki DM tufanye biashara.

Nina uhakika utapata faida kubwa kwa wewe kijana mwenzangu uliye na muda wa kuinvest zaidi kwenye kilimo.
 
Unayo ipi SIAM KUBOTA,TRA CHANG,SWAMI KILIMO au BOER...

Me ninayo tra chang ina mwaka wa 6,nipe location yako nikusaidie kutafuta wateja ila utanipa tela kwa laki 5,hili ulijue kabisa
Ninayo KUBOTA ZT 140 PEM bosi, karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom